Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali zuriWe ke au me
Naona kakaa kimyaswali zuri
ahahaa au za ma ex zetuYoyote ile utakayoipenda wewe anzisha basi au hata tukumbushane tulivyokua shule ya msingi lol
umeandikaje wewe kiserengeti wa mwendokasiXo xory u wil b ok
hata mimi huwa nasikia hivo mimi namchukia yaani nikikutra simba anamla nampa na kachumbari na pepsi ya kushushia! alikufanyia nini shosti?Hahaha hapo ndio penyewe shostito watu wanasemaga wakikutana na ma ex wao wanaweza kumbushia ila mm my first boyfriend mmmhh no no no sitaman hata kukutana naye hhaha
leta story amen[emoji7]
Haahaa nilikutana naye somewhere katikat y mji amenenepeana kama tembo kitambi kama ana mimba ya kujifungua honest nilijiuliza ilikuaje nikawa na kituko kama kile those days aaarrghhhhhh tho alikua hajaumuka hvyohata mimi huwa nasikia hivo mimi namchukia yaani nikikutra simba anamla nampa na kachumbari na pepsi ya kushushia! alikufanyia nini shosti?
Shule ya msingi hujawahi kuvaa sketi iliyotoboka??? Ha ha haYoyote ile utakayoipenda wewe anzisha basi au hata tukumbushane tulivyokua shule ya msingi lol