Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
hahahaa, ujue hata sisi wasukuma tushastuka, tumeibiwa sana, tumedhulumiwa sana kimapenzi kisa wapole.. teh tehHa haa shenzy wewe... Nimechekaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa, ujue hata sisi wasukuma tushastuka, tumeibiwa sana, tumedhulumiwa sana kimapenzi kisa wapole.. teh tehHa haa shenzy wewe... Nimechekaje
we valley wewe, Nyani Ngabu ulimwambia uko chuga, mimi unasema uko mwanza, teh teh... akili kum head
I l..e youYaan naona niko bored,njoeni basi online tupige story yoyote ile!
Karibuni
Aliewastua alaumiwehahahaa, ujue hata sisi wasukuma tushastuka, tumeibiwa sana, tumedhulumiwa sana kimapenzi kisa wapole.. teh teh
we mtoto mumeo ni mjeda, naona anaanza kunihoji maswali ya kiCIA hapo juu.. teh tehAliewastua alaumiwe
we mtoto mumeo ni mjeda, naona anaanza kunihoji maswali ya kiCIA hapo juu.. teh teh
nawaacha all the way up!
Nani alikwambia nina mume humu?we mtoto mumeo ni mjeda, naona anaanza kunihoji maswali ya kiCIA hapo juu.. teh teh
nawaacha all the way up!
poa chief,Oyaa...niaje wewe...
Huna bwana?Nani alikwambia nina mume humu?
Kisa?
Ulikuwa unabeba jagi au lita mbili kama kikombe chako cha ujiNilivaa saaaaaaaana, mpaka viatu vya chachacha, shule ya msingi, enzi za kubeba kuni sijui tofali kwaajili ya ujenzi wa jiko la mwalimu
We msukuma uko bia ya ngapi?Huna bwana?
kwa hiyo pale kati panatibiwa na tango? teh teh
Aiii jamani we kakaNimezidi kukupenda mpaka imegeuka chuki sasa.
Huna bwana?
kwa hiyo pale kati panatibiwa na tango? teh teh
namchokoza shemeji chief..Umenichekesha saaaaaaaana.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
wabebez wa mwanza bhana..... ukimtongoza binti wa kisukuma yeye hajibu kitu, unaweza kuongea nusu saa nzima yeye kimyaaaa
unaomba namba anakupa... unajikuta umekula kimya kimya