Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

wabebez wa mwanza bhana..... ukimtongoza binti wa kisukuma yeye hajibu kitu, unaweza kuongea nusu saa nzima yeye kimyaaaa

unaomba namba anakupa... unajikuta umekula kimya kimya
 
Umenichekesha saaaaaaaana.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀.
namchokoza shemeji chief..

ole wake akae mkao wa kulewa.. teh teh

kama huna ghetto usitafute dem, gesti zote zinafumuliwa siku hizi.. jela nje nje!
 
wabebez wa mwanza bhana..... ukimtongoza binti wa kisukuma yeye hajibu kitu, unaweza kuongea nusu saa nzima yeye kimyaaaa

unaomba namba anakupa... unajikuta umekula kimya kimya

Ila MZA kuna totoz kali acha kabisa.

Kwa mfano ukienda pale Buzuruga plaza pale kwenye gym...utadhani uko South Beach, Miami.
 
Back
Top Bottom