Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

Kabisa...

upload_2016-9-12_15-16-13.jpeg
 
Hiv hii eid haina nyongeza na kesho au ni Leo tu kesho mzigon km kawa ?
 
wanawake wa huu mtaa wagumu sana kutoa papu zao, ila wepesi wa kusaka nilipoficha wallet yangu... Gosh!
 
Teh msukuma tatizo vocal hujui....
nimepata mnyarwanda aisee hatari sana bibie wa Nyani Ngabu..

huyu nimempatia Dar es salaam lakini, ofcourse nimetoka Dar J,mosi.

Basi mtoto wa Kihutu kawa mfupi kwangu, najionea aibu damn..

Sasa huku MZA ndo home, inabidi nijikumbushe home home teh teh
 
Alaaa kumbe!

Basi pongezi.
 
nimepata mnyarwanda aisee hatari sana bibie wa Nyani Ngabu..

huyu nimempatia Dar es salaam lakini, ofcourse nimetoka Dar J,mosi.

Basi mtoto wa Kihutu kawa mfupi kwangu, najionea aibu damn..

Sasa huku MZA ndo home, inabidi nijikumbushe home home teh teh
Hatimae msukuma kaopoa mnyarwanda
 
Hatimae msukuma kaopoa mnyarwanda
wabebez wa kinyarwanda hawana tabu sana wakitembezewa mistari na wabongo.

Kwanza wao wameshachoka kusifiwa, they are always beautiful, teh teh

basi mwororo, acha nile damu ya kagame kwa muda..
 
Aki ngosha umetisha leo...
 
Back
Top Bottom