Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Huko huko uwanjani takujaNakuja kwa ndege bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko huko uwanjani takujaNakuja kwa ndege bhana.
Bora iwe hivo mahamaAtakua amesamehewa bana
Ndo ujiandae kesho mzigoniHiv hii eid haina nyongeza na kesho au ni Leo tu kesho mzigon km kawa ?
Teh msukuma tatizo vocal hujui....wanawake wa huu mtaa wagumu sana kutoa papu zao, ila wepesi wa kusaka nilipoficha wallet yangu... Gosh!
nimepata mnyarwanda aisee hatari sana bibie wa Nyani Ngabu..Teh msukuma tatizo vocal hujui....
nimepata mnyarwanda aisee hatari sana bibie wa Nyani Ngabu..
huyu nimempatia Dar es salaam lakini, ofcourse nimetoka Dar J,mosi.
Basi mtoto wa Kihutu kawa mfupi kwangu, najionea aibu damn..
Sasa huku MZA ndo home, inabidi nijikumbushe home home teh teh
chief unaijua Buzuruga plaza?Alaaa kumbe!
Basi pongezi.
Thread ipi imekuvutia?chief unaijua Buzuruga plaza?
Nitaanza kujongea pale kwa ajili ya body fitness, ofcourse thread yako kule imenivutia sana.
Mwanza baridi sana usiku aisee.
kule kwa Bufa, mzee wa fitness and wellness.Thread ipi imekuvutia?
Hatimae msukuma kaopoa mnyarwandanimepata mnyarwanda aisee hatari sana bibie wa Nyani Ngabu..
huyu nimempatia Dar es salaam lakini, ofcourse nimetoka Dar J,mosi.
Basi mtoto wa Kihutu kawa mfupi kwangu, najionea aibu damn..
Sasa huku MZA ndo home, inabidi nijikumbushe home home teh teh
Ngosha oyeeeeHatimae msukuma kaopoa mnyarwanda
wabebez wa kinyarwanda hawana tabu sana wakitembezewa mistari na wabongo.Hatimae msukuma kaopoa mnyarwanda
WoyeeeeNgosha oyeeee
Aki ngosha umetisha leo...wabebez wa kinyarwanda hawana tabu sana wakitembezewa mistari na wabongo.
Kwanza wao wameshachoka kusifiwa, they are always beautiful, teh teh
basi mwororo, acha nile damu ya kagame kwa muda..
Vee mshaka wa kuu ValeeKupenda.... Kichaga
Huko huko uwanjani takuja