Tupike biriani mzuri ya nyama ya ngo’mbe sito wafundisha

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Leo tupike birian nzuri twende pamoja sito fundisha tena hii

Kwanza kaanga vitunguu vyako vizuri tu viwe golden blown ndii uvitoe uweke pembeni viji chujee mafuta mimi nime tumia vitunguu kilo 2

Baada ya hapo saga nyanya yako vizuri unapo saga nyanya changanya kitunguu swahumu, hoho, karoti na mtindi

Baada ya kumaliza nika chukua sufuria yangu ambayo napikia sotojo lenyewe nika weka nyanya nilio brend na nyama ilio chemshwa vzr pamoja na viungo kiungo cha biriani pipili manga, simba mbili, chumvi

Baada ya mda sotojo likawa zito nika chukua vitunguu ambavyo nili vikaanga mwanzoni
Ikawa hivi


Kisha nika weka jikoni baada ya hapo nikawa napika wali sasa nilikuwa nimechemsha maji ya moto baada ya kuchemka nika uchemsha vzr ila kabla ujaupika uloweke

Ukisha loweka uka uchemsha una ukaanga vzr tu kisha uta weka rangi yako kama hivi uache uive kwa mvuke kama hivi

Bado tupo jikoni usitoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…