Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Ahah karibu ujeTamuu😋😋
Ahah karibu ujeTamuu😋😋
Acha kabisa tuna jitahidMwachi fundi
NaamAcha kabisa tuna jitahid
Utupe mualiko sasaNgoja ijumaa nifanye hii kazi,🥰
Mkeo atapata sana taaabu
Il ata zoea tuMkeo atapata sana taaabu
Sasa wewe ni kitu gani cha home unapenda kufanya?Vitu ambavyo sipendi ni kupika, kufua na kuosha vyombo... Bora nikapasue mawe huku nikitavuna chochote kinachofaa kuliwa 😊
Ila hongera mkuu
Kutengeneza mazingira... Mfano kupanda bustani nzuri yenye mbogamboga na matunda, kufuga vitu vya urembo, kucheza na wanangu nkSasa wewe ni kitu gani cha home unapenda kufanya?
Kweli hii ule ushibeNa mie nimetoka kujipikia nile nishibe 😅😅
View attachment 3451418
Nimerudi nina njaa, cha haraka haraka ni hicho tu.. 😅😅 Kama ile cha ki masihara tu huu msosiKweli hii ule ushibe