Tupike biriani mzuri ya nyama ya ngo’mbe sito wafundisha

Hongera Mwachi, chakula kizuri.

Kwa uboreshaji punguza karoti kwenye rojo la biriani, Kama hiyo kwa picha ungeweka nusu yake. karoti inafanya rojo kutawanyika badala ya kujishika.
 
Mariam biriani
😂😂🤣😍🤣😍😍🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤩🤩🤩🤩🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli wewe ni uhuru haloo io picha profile yako hatari
 
Birian bana linanishinda, maviungo mengi sana nahofia tumbo kuzingua,,,,

Siku shem ako akisema nimpeleke tunaagiza 2, moja take away,,, hio nyingine tunashea nakula yai na vijiko kadhaa tu kumridhisha,,,, akishasepa naenda sehemu naagiza kongoro na ndizi 😃 😀
 
Una jiogopa tu
 
Back
Top Bottom