Tupike biriani mzuri ya nyama ya ngo’mbe sito wafundisha

Kwakua Sasa hivi upo DSM, tufanye challenge ya sotojo,,

Mm sina sufuria Wala sahani,,
 
Huo mda unaupata wapi,..!?? By the way hongera sana kwa kutoa kitu kizuri.
 
sasa mkuu nikikua nataka kuwa kama wewe japo sipendi nina dem wangu huyo nikisonga hata ugali anakosoa vikali
 
Nice, bt unapika kiuchafu dear, sufuria na jiko havitamaniki. Better itumie sufuria kubwa kwaajili ya space
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…