Kichwa changu nikinywa bia nitaenda kukushitaki tanapa🤣Kabisa mkuu ukimaliza hapo unakunywa na bia swafiii
Hahaha ni kiboko sawa na jina lake, nataka nijaribu mamba 😀Mh iyo hapana labda nile nisijue
Siku nyingine utufundishe kupika msosi wa waandamanaji 😂😂😂Tusije kufa njaa
Ni machache sana kuyakutakuna kipindi walianzishaga mabucha ya nyama pori sijui bado yapo au yashajifia.
Ahahaha au sio elifu tenaMboga inavutia haswa anakaangiza kama mama elif wangu. Leo kanipikia sato akatia na ntwiri mchuzi mzito na ugali wa Dona wenye muhogo acha kabisa😄
Anakwambia weka bajeti mezani nikutolee kitu na kweli kitu kinatoka. Kuna watu wanahobi ya kupika na akipika amepika haswaAhahaha au sio elifu tena
Inategemeana na upo wapi kama upo dar ukikutwa utasema umepata wapi? 🙌Nyama pori inaweza kukuletea miaka 30 hivi hivi kama utani
😂😂😂 unakuja kujua unae mshatkia ndio kanipa kama zawadi 😂Kichwa changu nikinywa bia nitaenda kukushitaki tanapa🤣
Nenda mto ruvuHahaha ni kiboko sawa na jina lake, nataka nijaribu mamba 😀
Ahaahha wa ian gani uhoSiku nyingine utufundishe kupika msosi wa waandamanaji 😂😂😂
Daah....Kuna Raha kupata mke anayejua kupika vizuriMboga inavutia haswa anakaangiza kama mama elif wangu. Leo kanipikia sato akatia na ntwiri mchuzi mzito na ugali wa Dona wenye muhogo acha kabisa😄
Dah sawa bhnaEee😄
Leo ukuji 🤔
Kwahiyo mwisho nafungwa Mimi🤣🤣🤣😂😂😂 unakuja kujua unae mshatkia ndio kanipa kama zawadi 😂
Na wewe kazana kumtafutaDaah....Kuna Raha kupata mke anayejua kupika vizuri
Hongera mkuu
Si ndio kihelehele kinakuponzaKwahiyo mwisho nafungwa Mimi🤣🤣🤣