Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali

Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha

wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu kama unavyo viona hapo chini vzr vitunguu maji viwe vingi sana kuna watu wanatumia kitunguu kimoja kwa mboga mbili mimi nimetumia vitatu vitunguu kwenye mboga ni vizuri sana
View attachment 3314308
Baada ya hapo nikaanza kukaanga nyama kwanza baada ya mafuta kupata moto vizuri
View attachment 3314310
Nilikaanga kwa muda mpaka nilipoona nyama imeanza kuwa na rangi ya blown

View attachment 3314312
Kisha nika weka viungo vyangu vyote kwa wakat moja hapo
View attachment 3314313
Nika vichanganya vizuri kisha nikaweka nyanya nilio brend na wakati na brend nyanya naweka mafuta kidogo ili nyanya iwe mzuri zaidi

View attachment 3314315
Baada ya hapo nyanya kuiva nikaweka limao kidogo na source kama unayo unaweka pia nikaweka na pilipili
View attachment 3314316Nyama yangu teyari kwa ugali unaweza kula kwa ndizi za kukaanga au choma pia unaweza lia na wali au chips karibu sana umeme ukirudi tutasonga ugali kwa leo inatosha. 😂
Je ndugu hiyo ya fisi,simba ama ngedere?
 
Back
Top Bottom