Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Akileta pigo za kuninyima mzigo mpaka anunuliwe chipsi kwahiyo nikaze au sioUsinunue chakula akija atazoea mwanamke hana ugeni jikoni
Akileta pigo za kuninyima mzigo mpaka anunuliwe chipsi kwahiyo nikaze au sioUsinunue chakula akija atazoea mwanamke hana ugeni jikoni
Usijali ilo limeisha mbonaPoa utanitag mwana,sisi tusio na wake tunapitia magumu biliani mpaka ijumaa tena uweke Order
Jua sio mke af mtimueAkileta pigo za kuninyima mzigo mpaka anunuliwe chipsi kwahiyo nikaze au sio
Hapo nimekuelewa nitakuwa naleta mirejesho ya miunguzo mpaka niwe fundiHapana jifunze ila ukiwa unapika tuliza akili af usiwe na haraka kabisa utatoa kitu kizuri
Kikubwa utayari na upende unachokifanyaHapo nimekuelewa nitakuwa naleta mirejesho ya miunguzo mpaka niwe fundi
Hatucheki na wowote🤣🤣🤣Jua sio mke af mtimue
Sawa kiongozi 🙏🙏🙏Kikubwa utayari na upende unachokifanya
Kwani kinachukua muda mrefu kukiandaa?Kuna siku nilikuwa na hamu ya kidodo nikakosa mda wa kuandaa tu
Kabisa atakusumbua ukiona ivyoHatucheki na wowote🤣🤣🤣
Nakubali
Ndio kukitwanga kuchambua mchele ukiwa peke yako lazima uvivu ukushikeKwani kinachukua muda mrefu kukiandaa?
Hapo sawa.Ndio kukitwanga kuchambua mchele ukiwa peke yako lazima uvivu ukushike
Wao hawali?Unakula rosti ya nyara ya serikali sio
Swala mtamu sana af anakuja pofuHongera sana Mkuu,
The food looks so delicious 😋😋
Hiyo nyama pori imenikumbusha Mwaka 47 nyama pori ya Swala/Nyati, kabla leseni yangu ya uwindaji haija-expire 🤗
Zamani nilikuwa na hiyo access ya kula nyama pori mara Kwa maraSwala mtamu sana af anakuja pofu
Kabisa ila sasaiv ni ngumu sana kuna safari moja nilitaka kusafiri nayo mpaka dar nikawaza sanaa nikaamua kugawa tuZamani nilikuwa na hiyo access ya kula nyama pori mara Kwa mara
Hao wanyama ni watamu sana ukizingatia wako hawachomwi sindano za madawa
SoonWai chap
wanataka wale wenyewe tu, ila unafaidi sana ongeza ugali huo mdogo utafikiri unaonjaWao hawali?