issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Acha mara mojaNimekupata kwahiyo mambo yakumnunulia chipsi au chakula akija home niache
Nimpe test
Acha mara mojaNimekupata kwahiyo mambo yakumnunulia chipsi au chakula akija home niache
Nimpe test
Usinunue chakula akija atazoea mwanamke hana ugeni jikoniHizi code za muhimu sana mmenifungua akili
Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali
Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha
wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu kama unavyo viona hapo chini vzr vitunguu maji viwe vingi sana kuna watu wanatumia kitunguu kimoja kwa mboga mbili mimi nimetumia vitatu vitunguu kwenye mboga ni vizuri sana
View attachment 3314308
Baada ya hapo nikaanza kukaanga nyama kwanza baada ya mafuta kupata moto vizuri
View attachment 3314310
Nilikaanga kwa muda mpaka nilipoona nyama imeanza kuwa na rangi ya blown
View attachment 3314312
Kisha nika weka viungo vyangu vyote kwa wakat moja hapo
View attachment 3314313
Nika vichanganya vizuri kisha nikaweka nyanya nilio brend na wakati na brend nyanya naweka mafuta kidogo ili nyanya iwe mzuri zaidi
View attachment 3314315
Baada ya hapo nyanya kuiva nikaweka limao kidogo na source kama unayo unaweka pia nikaweka na pilipili
View attachment 3314316Nyama yangu teyari kwa ugali unaweza kula kwa ndizi za kukaanga au choma pia unaweza lia na wali au chips karibu sana umeme ukirudi tutasonga ugali kwa leo inatosha. 😂
Kabisaa ukitoka hapo shushia zako na maji mtuvuuuAsikwambie mtu😋
Kumbe unaipata vizuri eeh?
Mimi sio mzee mkuu, nimesema tu lakini mimi bado kijana barobaro. Ni vile nimeanza kutokupenda viungo vingi kwenye mboga.Uzee unachangia pia na magonjwa
Mbuzi poriJe ndugu hiyo ya fisi,simba ama ngedere?
Ahahha sawa mkuu ngoja twende mjiniAfadhari aisee tule ugali maana Gavoo imetusumbua Dar.
Ila mwiko kama umeisha hivi,nunua mwingine mkuu
Ungeweka na kibali cha uwindaji hapa,hata mimi ningekuja kudoweaMbuzi pori
Hippopotamus amphibius au the river horseFafanua mkuu kiboko gani unamaanisha?
Ohh sawa tunatofautianaMimi sio mzee mkuu, nimesema tu lakini mimi bado kijana barobaro. Ni vile nimeanza kutokupenda viungo vingi kwenye mboga.
Mbona kama unanikatisha tamaa mwanafunzi wako unavyoongelea kipaji maana me najua sina mkono wa kupika sijui sina kwa kweliHaraka kuna mmoja atapika kwa haraka unakuta nyama au nyanya haiivi au anaunguza lakini naamini katika kipaji upishi nao ni sanaa ni kipaji na mkono wa mtu
Nilipika sikuu hapa live ila nitarudia tena weekend moja maana siku ile tanesco walinizingua sanaAfu bro kula lile sotojo la biriani Unapika lini.
Natamani unifundishe mzee,nilienda kwa Rafiki yangu mke wake alipika mpaka nikajiramba.
😂😂 we mbaya iyo itakuchafuaUngeweka na kibali cha uwindaji hapa,hata mimi ningekuja kudowea
Hahaha!Kabisaa ukitoka hapo shushia zako na maji mtuvuuu
Hapana jifunze ila ukiwa unapika tuliza akili af usiwe na haraka kabisa utatoa kitu kizuriMbona kama unanikatisha tamaa mwanafunzi wako unavyoongelea kipaji maana me najua sina mkono wa kupika sijui sina kwa kweli
Poa utanitag mwana,sisi tusio na wake tunapitia magumu biliani mpaka ijumaa tena uweke OrderNilipika sikuu hapa live ila nitarudia tena weekend moja maana siku ile tanesco walinizingua sana
Asante sana karibu homeCatress unajua sana 🤝
Kuna siku nilikuwa na hamu ya kidodo nikakosa mda wa kuandaa tuHahaha!