Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #121
NakusubiriSoon
NakusubiriSoon
Ahahah au sio sawa mkuuwanataka wale wenyewe tu, ila unafaidi sana ongeza ugali huo mdogo utafikiri unaonja
Kusafirisha ni changamoto hadi uwe na vibaliKabisa ila sasaiv ni ngumu sana kuna safari moja nilitaka kusafiri nayo mpaka dar nikawaza sanaa nikaamua kugawa tu
Kabisa au uwe na private car mimi sikutaka mambo ya kujieleza sana yaan kujielezea ukikutana naoKusafirisha ni changamoto hadi uwe na vibali
Otherwise utajikuta una kesi ya uhujumu Uchumi 😜
Nakuja na ugaliLeo ukuji 🤔
Ugali usiwe ugali wa dar 😂Nakuja na ugali
😃😃 Ugali wa Dar ndio upoje?Ugali usiwe ugali wa dar 😂
Lainiiii ukiingiza kidole kinazama 😆😃😃 Ugali wa Dar ndio upoje?
Ndio" nyama pori"
Umeshindikana 😂😂Hahaha 😀 sili mdudu og tu
kuna fungu linasema kuleni bila kuulizauliza 🙂Umeshindikana
Nawe umeamua kuishi nalo😎kuna fungu linasema kuleni bila kuulizauliza 🙂
Najaribu vitu kikiwa kitamu naishi nacho haha!Nawe umeamua kuishi nalo
😎☺️ we jamaa nilipona tu jinsi ulipokata izo makoroti na hoho nkajua tu we ni fundi ktk tasnia hii ya mapishi .Ntakutafuta unipe maujuzi zaidi .Safi rosti Iko vizuriHellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali
Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha
wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu kama unavyo viona hapo chini vzr vitunguu maji viwe vingi sana kuna watu wanatumia kitunguu kimoja kwa mboga mbili mimi nimetumia vitatu vitunguu kwenye mboga ni vizuri sana
View attachment 3314308
Baada ya hapo nikaanza kukaanga nyama kwanza baada ya mafuta kupata moto vizuri
View attachment 3314310
Nilikaanga kwa muda mpaka nilipoona nyama imeanza kuwa na rangi ya blown
View attachment 3314312
Kisha nika weka viungo vyangu vyote kwa wakat moja hapo
View attachment 3314313
Nika vichanganya vizuri kisha nikaweka nyanya nilio brend na wakati na brend nyanya naweka mafuta kidogo ili nyanya iwe mzuri zaidi
View attachment 3314315
Baada ya hapo nyanya kuiva nikaweka limao kidogo na source kama unayo unaweka pia nikaweka na pilipili
View attachment 3314316Nyama yangu teyari kwa ugali unaweza kula kwa ndizi za kukaanga au choma pia unaweza lia na wali au chips karibu sana umeme ukirudi tutasonga ugali kwa leo inatosha. 😂
Karibu mkuu😎☺️ we jamaa nilipona tu jinsi ulipokata izo makoroti na hoho nkajua tu we ni fundi ktk tasnia hii ya mapishi .Ntakutafuta unipe maujuzi zaidi .Safi rosti Iko vizuri
Asante mkuuKaribu mkuu
We champion.Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali