Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
😀😀Yani ni mtamu lkn nauchukiaNamzingua Chef tu na Jukwaa lake la misosi.
Akufundishe kupika ugali wa mtama
Nilikuwa nikienda kwa bibi kijijin kwao hakuna maashine ya kukoboa anatuamsha alfajir,
mnapewa mtama mtwange. Had utoke Yale maganda mchanganye na mahind mkasage unga wee unatwangwa had unapata kichaaa 😀 Nikaanza kuuchukia mtama balaa 😂😂😂