Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Avatar zako kadhaa nimeona picha ya dreadlocks nikahisi unazipenda sana.
Usishangae kwanini nimekufuatilia Avatar zako. Siyo kwa nia yoyote.
Napenda sana wanawake wakiwa na dreadlocks hasa zikiwa safii au afuge afro kubwa linawaka mafuta.
Sijui kwanini ila wananivutia sana na nachukia wig na nywele za bandia bora anyoe low cut hair.
No disrespect kwa wenye wigs na weaving.
 
Onhoo Shukran Sana 🙏
 
Back
Top Bottom