ngoja nije tulewe ila usinitukane.Mtoto wa kishua wewe huwezi elewa hapa
Unasakata wap mziki bibie nijikongoje walauKaribu sana mpwa
Una uwezo wa kula hata sa tisa..Mie huwa muda wa kula siupi uzito sijajua kwanini.
Naweza amka saa 9 usiku nikapika ugali na kula.
Ila nikilala hapoooo nitakuja kuamshwa na winch๐
safi sanaSiwezi mpwa.
Sahv nishakuwa bibi naheshimu kila mtu
safi sanaSiwezi mpwa.
Sahv nishakuwa bibi naheshimu kila mtu
Eti tui la pili huwa unalifanyiaga nini?Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina ๐ฆ wala nini.
Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito.
Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75.
View attachment 3336542View attachment 3336543View attachment 3336544
Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo makini katika unywaji kwani nataka nibaki na kilo zangu za ujana na nyash! yangu ibakie vilevile pia.
Mchana nikajiendea zangu sehemu wanauza miguu ya kuku na vishombo shombo kadhaa.
View attachment 3336545
Nikafika nyumbani nikaiandaa vyema na kutia viungo kisha nikaifunika na kuiacha masaa 2 ili ichanyanyikiwe๐
Hapo maharage yangu yalikuwa jikoni na tayari nimeshayaunga na tui bubu tu.
Huwa sie wanawake wa pwani nazi sio shida zetu, ndio maana tunatumia tui bubu tu katika kupikia vyakula.
View attachment 3336547
Lile tui la pili huwa napenda sana kuliogea au kunawia uso na huku kwa bibi kwani huleta mvuto na mnato zaidi.
Na hapo nilikuwa nishauchambua mchele wangu na kutoa vitaka vyote na virangirangi vya jarubani.
Kisha nikakuna nazi ingine na kupika wali mtamu wa nazi wenye ukoko ukoko.
Mie napenda sana ukoko hasa ukiwa wa wali, uji au ukoko wa ugali.
View attachment 3336548
Na baada ya kuivisha wali nazi na harage nazi, nikaanza kukarangiza miguu yangu ya kukuโบ๏ธ
Nilikatia katia kila kitu jikoni kisha nikaimwagia miguu humohumo, nikaipika ikaiva nikatia limau na kapilipili huku nadokoa mpaka ikakaribia kuisha jikoni.
View attachment 3336549
Na baada ya hapo nikakata kata kachumbari na kutenga mezani kisha nikaupiga mwingi.
Kaibuni sana warembo wenzangu na wakaka wote wa Jamii Forums na visitors wote.
View attachment 3336550
Nyie watoto wa ushuani wenzenu huku uswazi miguu ya kwioo ni mboga tamu sana hasa uipatie kindimu na kipilipili cha kutupia๐
Hapa nilipo nashushia na Castle lite ya baridi mixer kvant ili nipate nguvu za kwenda Club kusakata muziki vizuri maana leo weekend imeanza
View attachment 3336556
Cheers!!!!!๐ฅ๐ป๐ฅ๐ป๐ฅ๐ต๐ต๐ต
MwachiluwiLeo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina ๐ฆ wala nini.

Aaaaah weeeehUna uwezo wa kula hata sa tisa..
Basi wewe una uwezo wa kuua panya kwa kumkazia macho tu mkuu
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐ซ mpaka hapa sijajua pa kwenda mpaka nilewe.Unasakata wap mziki bibie nijikongoje walau