Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

ongeza miguu na maji hayo madam. Huo ubwabwa watakula watoto waliotoka shule za boarding.
Hapa niko full. Nimebakisha kwanza ili nikate pombe kwanza.
20250516_201752.jpg
 
🫠 mpaka hapa sijajua pa kwenda mpaka nilewe.
Nikishalewa locatio inakuja yenyewe.
Nilitaka niende kule Sudan kwenye usiku wa kujiachia na kanga moko.
Kiuno changu kigumu nataka nikakilainishe huku nabambiwa kisha baada ya hapo niende zangu Mikocheni kwenye house party ya boy mmoja hv!
ukilewa usi_chart
 
Una uwezo wa kula hata sa tisa..
Basi wewe una uwezo wa kuua panya kwa kumkazia macho tu mkuu
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣
Jamani, mbona kuua panya tenaπŸ˜‚
Mie naweza nisile siku nzima ila njaa ikauma saa 10 usiku, lazima nile
 
🫠 mpaka hapa sijajua pa kwenda mpaka nilewe.
Nikishalewa locatio inakuja yenyewe.
Nilitaka niende kule Sudan kwenye usiku wa kujiachia na kanga moko.
Kiuno changu kigumu nataka nikakilainishe huku nabambiwa kisha baada ya hapo niende zangu Mikocheni kwenye house party ya boy mmoja hv!
Ukihamia mikocheni tushituaneπŸ‘πŸ‘
 
Back
Top Bottom