Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

Sawa Dr.
Mimi haki siwezi agiza ndogo.
Naagiza kubwa aidha kwa kampani au one woman alone!
Upo vizuri madam utakua persistent level yako ya alcohol ipo juu..

Pia nimevumbua kvant inapunguza Sana vitambi nili piga kama week mbili kitambi kitapululuka now hata Leo nimevaa mashati yaliyokua kabatini kapuni😆
 
Jidanganye.
Ila kiukweli inapunguza tumbo kiaina.
Mimi huwa napenda nilewe mpaka nitosheke.
 
Mie na nyama ni Simba familia na marafiki wanayajua abadani mapenzi yangu na nyama... Lkn miguu ya kuku huwa nakula sijawahi kuielewa kwakwel... Kongoro nazieelew wali Nazi garage Nazi safi mrembo
 
Mie na nyama ni Simba familia na marafiki wanayajua abadani mapenzi yangu na nyama... Lkn miguu ya kuku huwa nakula sijawahi kuielewa kwakwel... Kongoro nazieelew wali Nazi garage Nazi safi mrembo
Kongoro mimi hapana kwa kweli, ule utelezaji wake na ladha ya mchuzi wake 🤦‍♀️
Wali nazi na harage nazi tamu sana mpwa.
Nyama mimi si sana, aghalabu samaki naweza kula na nikasaza.
 
Kuna kuku mmoja hapo ni mjaluo au alikuwa anapaka oili chafu kwenye makenchi akaikanyaga oil chafu.
Hawa tunawaita kuku kibendera.
Yeye ndie anakuwa mtafuta chaka la chakula, kisha wengine hufuata nyuma.
Akiingia pachafu, anachafuka yeye kwanza 😅😅
Ndio maana muda wote miguu yao iko hvo🤣
 
Pishi la gangster 😹😹
Kwahiyo maji ya machicha ya nazi tunasafishia nyau? 🤣
 
Back
Top Bottom