Inatosha mpwa, usije ukadaka ban kesho kutwa tukakosa mualiko wa ubwabwa nazi.Hv unawajua Koffi Annan au Aaliyyah?
Bora ungesema hao kwenye mapishi ningekuona wa maana kuliko kumsema huyo bwana wako unayemjua wewe.
Halafu tangu nimejiunga 2012 sijawahi pata Ban, ila tunakoelekea utanifanya nipate Ban.
Mbona vingine humsifii au hakutii uboo vizuri kitandani?
Tafuta nyimbo inaitwa usiku wa manane utanishukuru 😂😂😂🙌🙌Chakula cha usiku wa manane ni kitamu sana
Nitakufuatilia Kwa karibu.Kula matunda tu usiku hata Kwa week mara 3, jipe mazoezi ya kutokula chips week 2, punguza kula wanga mwingi usiku, Jipe muda wa mazoezi asubuhi(Abbs 10×2, jumps 12×4 pumzika 1mn kila zoezi Kama una kamba ni vizuri) fanya hivi kila siku Kwa muda wa week 2 alafu nenda kapime Tena.
😂😂 watu tuwe wengi bhnaFani ya Mwachiluwi imeingiliwa
Nimeona hiyo ukila utakuwa unazulula tuMwachiluwi catress pita hapa uone miguu ya kuku roast
Njoo basi inbox tuyajenge wa uswazi mwenzangu!Kabisa kabisa.
Umeona eeee
Sisi wa uswazi kabisa
Full hakuna mfupa unabaki,Utaweza kula miguu na vichwa vya kuku au wataka tu nije?