Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
Ewaaaa,Watoto wa mjini wanakwambia, hatutaki ushahidi
No footprint....
Ewaaaa,Watoto wa mjini wanakwambia, hatutaki ushahidi
Njoo basi PM tuyajenge mkubwa mwenzangu!Ewaaaa,
No footprint....
Mtoto wa kishua wewe huwezi elewa hapa
Hapana
Sahv niko Mbeya, niko napambana na wanaume wa kinyakyusa
Hapo kwa Castle light Ndio umenikoshaLeo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini.
Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito.
Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75.
View attachment 3336542View attachment 3336543View attachment 3336544
Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo makini katika unywaji kwani nataka nibaki na kilo zangu za ujana na nyash! yangu ibakie vilevile pia.
Mchana nikajiendea zangu sehemu wanauza miguu ya kuku na vishombo shombo kadhaa.
View attachment 3336545
Nikafika nyumbani nikaiandaa vyema na kutia viungo kisha nikaifunika na kuiacha masaa 2 ili ichanyanyikiwe😂
Hapo maharage yangu yalikuwa jikoni na tayari nimeshayaunga na tui bubu tu.
Huwa sie wanawake wa pwani nazi sio shida zetu, ndio maana tunatumia tui bubu tu katika kupikia vyakula.
View attachment 3336547
Lile tui la pili huwa napenda sana kuliogea au kunawia uso na huku kwa bibi kwani huleta mvuto na mnato zaidi.
Na hapo nilikuwa nishauchambua mchele wangu na kutoa vitaka vyote na virangirangi vya jarubani.
Kisha nikakuna nazi ingine na kupika wali mtamu wa nazi wenye ukoko ukoko.
Mie napenda sana ukoko hasa ukiwa wa wali, uji au ukoko wa ugali.
View attachment 3336548
Na baada ya kuivisha wali nazi na harage nazi, nikaanza kukarangiza miguu yangu ya kuku☺️
Nilikatia katia kila kitu jikoni kisha nikaimwagia miguu humohumo, nikaipika ikaiva nikatia limau na kapilipili huku nadokoa mpaka ikakaribia kuisha jikoni.
View attachment 3336549
Na baada ya hapo nikakata kata kachumbari na kutenga mezani kisha nikaupiga mwingi.
Karibuni sana warembo wenzangu na wakaka wote wa Jamii Forums na visitors wote.
View attachment 3336550
Nyie watoto wa ushuani wenzenu huku uswazi miguu ya kwioo🐔 ni mboga tamu sana hasa uipatie kindimu na kipilipili cha kutupia👌
Hapa nilipo nashushia na Castle lite ya baridi mixer kvant ili nipate nguvu za kwenda Club kusakata muziki vizuri maana leo weekend imeanza
View attachment 3336556
Cheers!!!!!🥂🍻🥂🍻🥂🎵🎵🎵
Waoooo mdogo wangu huyo!Madame B nimekuunga mkono dadaView attachment 3353543
🙏Umeona eee.
Karibu sana mkuu
🍺 Beer na kvant haaahaa TUNDAMAN FT HARMONIZE_ MTU MBADI/MTU MBAYA.Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini.
Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito.
Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75.
View attachment 3336542View attachment 3336543View attachment 3336544
Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo makini katika unywaji kwani nataka nibaki na kilo zangu za ujana na nyash! yangu ibakie vilevile pia.
Mchana nikajiendea zangu sehemu wanauza miguu ya kuku na vishombo shombo kadhaa.
View attachment 3336545
Nikafika nyumbani nikaiandaa vyema na kutia viungo kisha nikaifunika na kuiacha masaa 2 ili ichanyanyikiwe😂
Hapo maharage yangu yalikuwa jikoni na tayari nimeshayaunga na tui bubu tu.
Huwa sie wanawake wa pwani nazi sio shida zetu, ndio maana tunatumia tui bubu tu katika kupikia vyakula.
View attachment 3336547
Lile tui la pili huwa napenda sana kuliogea au kunawia uso na huku kwa bibi kwani huleta mvuto na mnato zaidi.
Na hapo nilikuwa nishauchambua mchele wangu na kutoa vitaka vyote na virangirangi vya jarubani.
Kisha nikakuna nazi ingine na kupika wali mtamu wa nazi wenye ukoko ukoko.
Mie napenda sana ukoko hasa ukiwa wa wali, uji au ukoko wa ugali.
View attachment 3336548
Na baada ya kuivisha wali nazi na harage nazi, nikaanza kukarangiza miguu yangu ya kuku☺️
Nilikatia katia kila kitu jikoni kisha nikaimwagia miguu humohumo, nikaipika ikaiva nikatia limau na kapilipili huku nadokoa mpaka ikakaribia kuisha jikoni.
View attachment 3336549
Na baada ya hapo nikakata kata kachumbari na kutenga mezani kisha nikaupiga mwingi.
Karibuni sana warembo wenzangu na wakaka wote wa Jamii Forums na visitors wote.
View attachment 3336550
Nyie watoto wa ushuani wenzenu huku uswazi miguu ya kwioo🐔 ni mboga tamu sana hasa uipatie kindimu na kipilipili cha kutupia👌
Hapa nilipo nashushia na Castle lite ya baridi mixer kvant ili nipate nguvu za kwenda Club kusakata muziki vizuri maana leo weekend imeanza
View attachment 3336556
Cheers!!!!!🥂🍻🥂🍻🥂🎵🎵🎵
Itanipoteza network 😆 hii ndogo inatosha nakua haile haile kwa jion huwa napiga ndogo moja na toti mbili nakua level mpaka usiku wa mananeNdio mana yake.
Unapata stimu tamu sana.
Konyagi ndogo itaisha haraka.
Beba kubwa ikibaki unarudi nayo home😄
Hata me huwa nashangaa, kula miguu ya kuku, utumbo wa kuku, utumbo wa ng'ombe,mbuzi, kondoo na the like ni ulofa,hayo masalia huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine tuwafugao kama mbwa na paka, nyinyi ndo mnaofanya mbwa na paka wale msusa na mahindi ya kuchoma coz bidhaa zao mmezitekahivi hio miguu ya kuku unakulaje?
anyway nije tujumuike wote kwenye mivinyo...
Sawa Dr.Itanipoteza network 😆 hii ndogo inatosha nakua haile haile kwa jion huwa napiga ndogo moja na toti mbili nakua level mpaka usiku wa manane
Unashangaa hivyo nenda kwenye Chinese restaurants ndio urudi hapa kukoment.Hata me huwa nashangaa, kula miguu ya kuku, utumbo wa kuku, utumbo wa ng'ombe,mbuzi, kondoo na the like ni ulofa,hayo masalia huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine tuwafugao kama mbwa na paka, nyinyi ndo mnaofanya mbwa na paka wale msusa na mahindi ya kuchoma coz bidhaa zao mmeziteka
Utajuaje kama nasi ni mbwa na paka tuliojivika ngozi ya binadamu je?Hata me huwa nashangaa, kula miguu ya kuku, utumbo wa kuku, utumbo wa ng'ombe,mbuzi, kondoo na the like ni ulofa,hayo masalia huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine tuwafugao kama mbwa na paka, nyinyi ndo mnaofanya mbwa na paka wale msusa na mahindi ya kuchoma coz bidhaa zao mmeziteka