yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 978
- 1,716
Watu wa dar hivi miguu yakuku ni mboga pia?
Asante sana mpwa wangu fimboyaukwajuMie kupika ni moja kati ta hobby zangu,nikiona uzi wa mapishi naufungua mbiombio.Nimeusoma huu uzi wako nikafurahi sana,hasa unapoogea tuil la nazi kwa bibi,japo naomba uwe makini maana usijepeleka maambukizo kwa bibi maana babu atakosa chakula chake.
Miguu ya kuku mimi ilishanishinda kula kabisa hivyo huwa sihangaiki navyo,maharage ni mboga yangu muhimu sana kwenye kila msosi ni lazima maharage yawepo na ndio mboga ninayotumia bajeti kubwa kutoa nyama.Asante
Harisi jina lako asanteHapana.
Ni dildo kwetu
Next time ukifanya ako kachezo ka kujipikilisha na vipombe pembeni usisahau kunikaribisha, mwisho tutafakari wote aya maisha.Nilikuwa na bia 1 na kvant chupa ndogo 2.
Nimejilaza kidogo kwanza natafakari maisha yangu 🤔
Jamaa ni wa hovyo huyu namjua sana tuu...Jichanganye akuingize kwenye mfumo
Yaani huwezi amini, muda huu ndio natoka in da party niko chupkilemba!!Next time ukifanya ako kachezo ka kujipikilisha na vipombe pembeni usisahau kunikaribisha, mwisho tutafakari wote aya maisha.
Lakini bia moja na kachupa kamoja ka kvant kalitosha kabisa 😅
Ni sawa uniambie nile alizeti.Sijawahi kuchambua.Nabugia nzimanzima na kuzitafuna zote.Nitatema kinachokera mdomoni tu.Miguu ya kuku naamini nitaihukumu hivyohivyo.hivi hio miguu ya kuku unakulaje?
anyway nije tujumuike wote kwenye mivinyo...
🙌🙌🙌🙌 Madam ndo sa kumi...Jamani, ila si natafuna nikiwa ndani kwangu?
Nimejifungia niko lelelele 👌👌!
😀😀Kuna mda ukasema nifate nyendo zako mkuu unakumbuka 😂😂😂🙌🙌🙌
ila dada umeniwashia moto wakati nilimuita tu bwana mwachiluwi kwa kuwa naonaga hua anapost sana misosiKamfuate kwenye post zake.
Kwani nimempikia yeye au!
Kama unataka kuja kula wewe njoo mwenyewe.
Sitaki timu wala mpambe😏
😎
Ni mitamu sana sijui inafananaje.Hapo ungenipata kwa hilo harage na kachumbari, ningeomba unisongee na dona kdg 😇.
Miguu ya kuku hapana, sijawahi kuitia mdomoni na hata kuona tu hivo kwenye sahani huwa napata shida naonaje sijuj