Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Upo vizuri madam utakua persistent level yako ya alcohol ipo juu..Sawa Dr.
Mimi haki siwezi agiza ndogo.
Naagiza kubwa aidha kwa kampani au one woman alone!
We ni kawaida yako kubadili matumizi, maana naona hata pochi manyoya lako linasafishwa na tui la nazi tena lile grade one badala ya maji safiUtajuaje kama nasi ni mbwa na paka tuliojivika ngozi ya binadamu je?
Jidanganye.Upo vizuri madam utakua persistent level yako ya alcohol ipo juu..
Pia nimevumbua kvant inapunguza Sana vitambi nili piga kama week mbili kitambi kitapululuka now hata Leo nimevaa mashati yaliyokua kabatini kapuni😆
Kuna kuku mmoja hapo ni mjaluo au alikuwa anapaka oili chafu kwenye makenchi akaikanyaga oil chafu.Siwezi mpwa.
Sahv nishakuwa bibi naheshimu kila mtu
Kongoro mimi hapana kwa kweli, ule utelezaji wake na ladha ya mchuzi wake 🤦♀️Mie na nyama ni Simba familia na marafiki wanayajua abadani mapenzi yangu na nyama... Lkn miguu ya kuku huwa nakula sijawahi kuielewa kwakwel... Kongoro nazieelew wali Nazi garage Nazi safi mrembo
Hawa tunawaita kuku kibendera.Kuna kuku mmoja hapo ni mjaluo au alikuwa anapaka oili chafu kwenye makenchi akaikanyaga oil chafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mim sio wa kishua ila miguu ya kuku,ngozi na utumbo sili [emoji23]
Eeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]