Tupimane kwa matokeo ya kazi sio maneno maneno

Tupimane kwa matokeo ya kazi sio maneno maneno

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Asante sana presidaaaa Samia Suluhu Hassan, president of the United Republic of Tanzania.

Mtu anapimwa kwa matokeo sio maneno, udini, chuki, wivu nk.

Hakuna serikali iliyomwaga mahela kwenye miradi kama serikali hii, hakuna kijiji ambacho utaenda hakuna hela ya mkuu wa nchi.

Mnataka mtu apimweje?

Tumpime mtu kwa kusema no reform no election? Tumpime Heche kwa kubwatuka bila data?

Haiwezekani, sisi tutamlinda mama huyu mwanzo mwisho kwa sababu ujenzi wa nchi sio jambo dogo.

Vichaa wako, wehu wako, machizi wako, malofa wako, ndio uongozi wa nchi ulivyo, mama piga kazi, we are behind you presidaaa.
 
Fangasi ikishafika ubongoni inavyokufanya sasa we mpuuzi
 
Back
Top Bottom