Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Wewe ni mtu wa hovyo sana.Wife hana tatizo lolote, zaidi kuonekana mchovu na kudeka hapa na pale. Je mwisho wa kupiga pipe ni mimba ikiwa na wiki ngapi?
Naombeni ushauri wakuu, maana nahofia kumtoboa mtoto utosi.