Tupo kwenye ndoa changa, ndio kwanza inamiezi tisa na wife anaujauzito wa kwanza: Naombeni ushauri

Babu yako hajambo. Pamoja na uzee bado anafyatua.

Anyway, kufanya mapenzi kipindi chote cha ujauzito ni salama kabisa endapo mama haoneshi dalili zozote za hatari au kuwa na historia isiyo njema hapo kabla.

Kinachopaswa kufanyika kwa usahihi ni aina ya style. Aina ya style zote ambazo huenda zikamuumiza mtoto, kama baba kuwa juu ya mama zinahitaji kusimama kwa muda mpaka pale mama atakapojifungua. Badala yake mama ndiye awe juu na style zingine ambazo hazitambugudhi mtoto.

Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito kuna faida lukuki, zikiwemo za kiafya na kisaikolojia.

Hongera kwa babu yako. Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…