Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Kumbe na wewe ni walewale wazee waliopigika, Kijana unywe mbege?
Sisi ni watu huru, yaani full kujielewa. Sio watu wa kushikiwa akili.

Wewe aliyekushikilia akili eti mbege ni ya wazee, dah kakuonea sana. Utaniambia pia Savannah ni ya wasichana. Hahahaha
 
Kuna Mdau kauliza swali huku "Je! Mama yupo ccm ipi?"
Tafadhali majibu.....
Isije ikawa naye......teh teh teeeeee
Yule ni Mwenyekiti wetu, heshima kwake ni lazima. Ni CCM huru yule, ndio maana amesema katiba mpya sawa ila apewe muda kidogo tu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wewe endelea tu kunywa bia za bure za akina Polepole! Ila mwisho wa siku zitakutokea tu puani.
Hapana boss, ninazo pesa zangu, staki za mtu, hata hivyo nakunywaga soda tu, pombe ilinishinda, kila nilipokuwa nainywa, nyumbani kwangu hawana raha, ni vipigo tu, Daah, nikaona kabisa hii kitu itanipa maisha magumu sana, nikaachana nayo
 
Elimu
Elimu
Elimu
Mifumo yetu nishida sheria ya uchaguzi 1985 inataka elimu ya uraia vs siasa iwe inatolewa kila mara lakini waaapi
Hapa watu wanalilia katiba mpya wakati hata Ile ya zamani hawaijui.

Mfano mdogo tu wa tukio la hivi majuzi ni wachache waliojua nini kinatakiwa kufanyika likitokea jambo kama lile (kuondokewa Kwa Rais akiwa madarakani)

Mkazo unatakiwa kuwekwa kwenye kuwaelimisha watu badala ya kuwadanganya kuwa inahitajika mpya wakati ya zamani hawaijui.

Haya ni matamanio ya wanasiasa tu sio mahitaji ya wananchi.
 
Sisi ni watu huru, yaani full kujielewa. Sio watu wa kushikiwa akili.

Wewe aliyekushikilia akili eti mbege ni ya wazee, dah kakuonea sana. Utaniambia pia Savannah ni ya wasichana. Hahahaha
Hahaa! wazee wa mbege kumbe mpo wengi, kaazi kwelikweli
 
Bila kusahau tupo Wanufaika wa Ccm tangu kuzaliwa kwetu na hatukipendi chama.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hapa watu wanalilia katiba mpya wakati hata Ile ya zamani hawaijui.

Mfano mdogo tu wa tukio la hivi majuzi ni wachache waliojua nini kinatakiwa kufanyika likitokea jambo kama lile (kuondokewa Kwa Rais akiwa madarakani)

Mkazo unatakiwa kuwekwa kwenye kuwaelimisha watu badala ya kuwadanganya kuwa inahitajika mpya wakati ya zamani hawaijui.

Haya ni matamanio ya wanasiasa tu sio mahitaji ya wananchi.
Fact
Ila we as Tanzanian tupo kwenye usingiz wa pono especially mwananchi mmoja mmoja hutujui hatma zetu na tunataka nni ni bora mkono uende kinywani
 
Kwakua kundi kubwa haliwezi kuona hatma zao

ipo haja ya kuwa na utaratibu mzuri wa kupata viongozi wenye maono kwani ndio watakaokuwa wanafikiri Kwa niaba ya kundi hili kubwa.
 
CCM limbukeni. Hawa ni wengi kiasi. Hawajui misingi ya chama, na hawajui chochote kuhusu chama. Hawa hawawezi kufanya analysis ya chochote kile kuhusu siasa, wao ili mradi ni CCM hewalaaa. Yaani hawa ni wale ambao wapo wapo tu hata hawajielewi. Hata ukiwa 'confront' vizuri kuhusu jinsia yake anaweza kukukwambia yeye ni 'ke' ilhali ki bailojia
Akina Elitwege😁
 
Kwakua kundi kubwa haliwezi kuona hatma zao

ipo haja ya kuwa na utaratibu mzuri wa kupata viongozi wenye maono kwani ndio watakaokuwa wanafikiri Kwa niaba ya kundi hili kubwa.
Na kundi hilo ndio mtaji wa hao wajionao miungu mtuu
 
Na hakuna atayetaka waelemike au wajikwamue kiuchumi kwani ndio mtaji wao.

Hapa nchini tayari tuna matabaka,

Magufuli alijitahidi sana kuneutralise hiyo hali,

Lakini naona wenye uwezo Kwa Sasa wanarejea, hawataki Abadan kupoteza nafasi zao.
 
Magu he never knew where to pull the trigger
The rest were hymth
 
Hongera kwa kujitambua aisee![emoji120]
20210628_225538.jpg
 
Back
Top Bottom