Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Magu he never knew where to pull the trigger
The rest were hymth
Magufuli kama binadamu ana mapungufu yake hata mimi nakiri ninayo,

Ila Moja ya makosa yake ni kumbakiza kama waziri wa fedha na mipango VP wa sasa, sikuwahi penda falsafa zake.

Magufuli baada ya kuondoa ufisadi alipaswa kuhakikisha anatengeneza namna ya kuwawezesha watu wenye vipato vya kati hawa wakiwa wengi uchumi ungeimarika zaidi na hata watu wa chini nao wangenufaika. Jambo ambalo awamu hii inapaswa kufanya.

Kama Taifa bado tuna safari ndefu lakini maamuzi yetu ya sasa ndio yatakayosema sisi tutakua taifa la aina gani miaka mingi ijayo.
 
Je tuna mpango mkakati wa muda mrefu na mfupi au ndio kila uchwao neno mchakato lina preveil
 
CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'.

... CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama, yaani wamejikuta wanaipenda tu. Hawa hawapo frontline sana.

... CCM maslahi, hawa ni kama wale wanachama wa upinzani wanaohamia CCM wapate uteuzi, and the likes. Hawa ndio wale 'zidumu fikra za Mwenyekiti' cha muhimu 'tumbo lake lijae chakula'. Hawa wapo frontline kwa kila kitu kupigania chama maana mambo yao yanategemea uhai wa chama. CCM maslahi ndio kundi kubwa zaidi kwenye chama, wahamiaji ni wachache sana. Ila mara nyingi hujikuta chemistry zao zina match Kwa sababu wanakuwa na common interest. Hawa ndio wanufaika wakubwa wakubwa wa chama na mifumo ya utawala. Hawa huwatumia wana CCM wenzao kujinufaisha zaidi.

... CCM limbukeni. Hawa ni wengi kiasi. Hawajui misingi ya chama, na hawajui chochote kuhusu chama. Hawa hawawezi kufanya analysis ya chochote kile kuhusu siasa, wao ili mradi ni CCM hewalaaa. Yaani hawa ni wale ambao wapo wapo tu hata hawajielewi. Hata ukiwa 'confront' vizuri kuhusu jinsia yake anaweza kukukwambia yeye ni 'ke' ilhali ki bailojia ni 'me'. Yaani wapo hvyo yaani.

... CCM huru. Hawa ni wale wanachama wachache sana wanaojielewa sana. Hawa wana logic reasoning kubwa kubwa. Wanajitegemea kwenye shughuli zao za ki uchumi bila hisani ya chama. Hawa wanaamini katika misingi ya chama 'Jembe na Nyundo'. Hawa ni wachapa kazi by nature. CCM Music yupo kundi hili. Hawa hawapo kwenye frontline politics sababu wanaona utoto mwingi kwenye majukwaa ya siasa.

Kwa mfano: CCM huru wanaamini wapinzani ni wepesi sana tukienda nao hoja Kwa hoja. Ki msingi wapinzani hawana hoja za maajabu, hoja zao ni za kawaida sana, hazistui.

Sasa, CCM huru tunaunga mkono movement ya katiba mpya. Ni kweli katiba yetu imezeeka, na ndio maana hata JK aliasisi mchakato wa kuandika katiba mpya. JK ni mwana CCM, na anakubali kweli kuna haja ya kuandika katiba mpya.

Sasa, nyie CCM lialia, CCM maslahi, CCM limbukeni muache kutuharibia chama kwa kushupaza shingo.

Katiba mpya ni muhimu na tunaitaka kwa ajili ya mustakabali mzima wa nchi yetu, na sio kwa ajili ya mustakabali wa maslahi yenu wenyewe kwa wenyewe.

CCM ni chama cha wananchi na sio cha wanufaika wa chama
wengi wa wanaccm wanaitaka lakini hawana pakusemea kutoka na kuogopa vitumbua vyao
 
Magufuli kama binadamu ana mapungufu yake hata mimi nakiri ninayo,

Ila Moja ya makosa yake ni kumbakiza kama waziri wa fedha na mipango VP wa sasa, sikuwahi penda falsafa zake.

Magufuli baada ya kuondoa ufisadi alipaswa kuhakikisha anatengeneza namna ya kuwawezesha watu wenye vipato vya kati hawa wakiwa wengi uchumi ungeimarika zaidi na hata watu wa chini nao wangenufaika. Jambo ambalo awamu hii inapaswa kufanya.

Kama Taifa bado tuna safari ndefu lakini maamuzi yetu ya sasa ndio yatakayosema sisi tutakua taifa la aina gani miaka mingi ijayo.
Katiba mpya kwanza itakayo toa mwelekeo na uwajibikaji. Vinginevyo tutapiga makitaimu sana
 
Kazi mnayo.. wananchi wengine na sie tunafata ya Rais wetu.. kwani yeye yupo kundi lipi?
Ww kundi lako ni ccm malimbukeni na bendera fuata upepo. Hamna lolote ujualo zaidi ya ccm bora liende.
 
Kumbe na wewe ni walewale wazee waliopigika, Kijana unywe mbege?

Jamaa ana utani mbaya, anasema ww ni ccm maslahi, nyie ni wale mliojiunga ili kulinda matumbo yenu. Tatizo ni moja, wamekuleta juzi huku mitandaoni ili ujibu mapigo.
 
SIJAWAHI kumuona
Huyu huwezi kumuona maana haingii kwenye vikao vya kujipendekeza. Anajimudu kimaisha na anasimamia misingi ya ccm. Anasema nyie mna utoto mwingi, na hata mara nyingi huwa nakuambia ww ni bendera fuata upepo.
 
Kwa uchambuzi huo basi mimi ni ccm huru, katiba mpya ni nguzo ya maendeleo endelevu
 
Jamaa ana utani mbaya, anasema ww ni ccm maslahi, nyie ni wale mliojiunga ili kulinda matumbo yenu. Tatizo ni moja, wamekuleta juzi huku mitandaoni ili ujibu mapigo.
Yote yangu, unalipi jingine mkuu
 
Hapa watu wanalilia katiba mpya wakati hata Ile ya zamani hawaijui.

Mfano mdogo tu wa tukio la hivi majuzi ni wachache waliojua nini kinatakiwa kufanyika likitokea jambo kama lile (kuondokewa Kwa Rais akiwa madarakani)

Mkazo unatakiwa kuwekwa kwenye kuwaelimisha watu badala ya kuwadanganya kuwa inahitajika mpya wakati ya zamani hawaijui.

Haya ni matamanio ya wanasiasa tu sio mahitaji ya wananchi.
Waliopaswa kujua kipi kifanyike rais akifariki ni wale waliopo kwenye uongozi wa serikali maana wao ndio wanaoapa kuilinda katiba.sasa kama walikua hawajui ni uzwazwa wao kuongoza nchi kimazoea.kila watu katika jamii wana sehemu yao ndani ya katiba,kuna yanayowahusu wanasiasa ambayo ni sehemu ndogo sana na kuna yanayohusu makundi mengine katika jamii.
 
CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'.

CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama, yaani wamejikuta wanaipenda tu. Hawa hawapo frontline sana.

CCM maslahi, hawa ni kama wale wanachama wa upinzani wanaohamia CCM wapate uteuzi, and the likes. Hawa ndio wale 'zidumu fikra za Mwenyekiti' cha muhimu 'tumbo lake lijae chakula'. Hawa wapo frontline kwa kila kitu kupigania chama maana mambo yao yanategemea uhai wa chama. CCM maslahi ndio kundi kubwa zaidi kwenye chama, wahamiaji ni wachache sana. Ila mara nyingi hujikuta chemistry zao zina match Kwa sababu wanakuwa na common interest. Hawa ndio wanufaika wakubwa wakubwa wa chama na mifumo ya utawala. Hawa huwatumia wana CCM wenzao kujinufaisha zaidi.

CCM limbukeni. Hawa ni wengi kiasi. Hawajui misingi ya chama, na hawajui chochote kuhusu chama. Hawa hawawezi kufanya analysis ya chochote kile kuhusu siasa, wao ili mradi ni CCM hewalaaa. Yaani hawa ni wale ambao wapo wapo tu hata hawajielewi. Hata ukiwa 'confront' vizuri kuhusu jinsia yake anaweza kukukwambia yeye ni 'ke' ilhali ki bailojia ni 'me'. Yaani wapo hvyo yaani.

CCM huru. Hawa ni wale wanachama wachache sana wanaojielewa sana. Hawa wana logic reasoning kubwa kubwa. Wanajitegemea kwenye shughuli zao za ki uchumi bila hisani ya chama. Hawa wanaamini katika misingi ya chama 'Jembe na Nyundo'. Hawa ni wachapa kazi by nature. CCM Music yupo kundi hili. Hawa hawapo kwenye frontline politics sababu wanaona utoto mwingi kwenye majukwaa ya siasa.

Kwa mfano: CCM huru wanaamini wapinzani ni wepesi sana tukienda nao hoja Kwa hoja. Ki msingi wapinzani hawana hoja za maajabu, hoja zao ni za kawaida sana, hazistui.

Sasa, CCM huru tunaunga mkono movement ya katiba mpya. Ni kweli katiba yetu imezeeka, na ndio maana hata JK aliasisi mchakato wa kuandika katiba mpya. JK ni mwana CCM, na anakubali kweli kuna haja ya kuandika katiba mpya.

Sasa, nyie CCM lialia, CCM maslahi, CCM limbukeni muache kutuharibia chama kwa kushupaza shingo.

Katiba mpya ni muhimu na tunaitaka kwa ajili ya mustakabali mzima wa nchi yetu, na sio kwa ajili ya mustakabali wa maslahi yenu wenyewe kwa wenyewe.

CCM ni chama cha wananchi na sio cha wanufaika wa chama
Na mimi nipo kwenye kundi lako, tatizo letu na sisi hatufahamiani, wala hatushighuliki kufahamiana ili kukusanya nguvu, laiti hawa wa kundi hili wangejitambua na kujua nafasi yao kwenye direction ya nchi basi hakuna ambaye angethubutu kuichezea nchi yetu...Kazi yangu mimi ya hiari ni kuongeza wingi wa watu wa kundi hili...Tufahamiane basi tukayajenge ndugu yangu CCM music
 
Back
Top Bottom