Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Magu he never knew where to pull the trigger
The rest were hymth
Magufuli kama binadamu ana mapungufu yake hata mimi nakiri ninayo,

Ila Moja ya makosa yake ni kumbakiza kama waziri wa fedha na mipango VP wa sasa, sikuwahi penda falsafa zake.

Magufuli baada ya kuondoa ufisadi alipaswa kuhakikisha anatengeneza namna ya kuwawezesha watu wenye vipato vya kati hawa wakiwa wengi uchumi ungeimarika zaidi na hata watu wa chini nao wangenufaika. Jambo ambalo awamu hii inapaswa kufanya.

Kama Taifa bado tuna safari ndefu lakini maamuzi yetu ya sasa ndio yatakayosema sisi tutakua taifa la aina gani miaka mingi ijayo.
 
Je tuna mpango mkakati wa muda mrefu na mfupi au ndio kila uchwao neno mchakato lina preveil
 
wengi wa wanaccm wanaitaka lakini hawana pakusemea kutoka na kuogopa vitumbua vyao
 
Katiba mpya kwanza itakayo toa mwelekeo na uwajibikaji. Vinginevyo tutapiga makitaimu sana
 
Kazi mnayo.. wananchi wengine na sie tunafata ya Rais wetu.. kwani yeye yupo kundi lipi?
Ww kundi lako ni ccm malimbukeni na bendera fuata upepo. Hamna lolote ujualo zaidi ya ccm bora liende.
 
Kumbe na wewe ni walewale wazee waliopigika, Kijana unywe mbege?

Jamaa ana utani mbaya, anasema ww ni ccm maslahi, nyie ni wale mliojiunga ili kulinda matumbo yenu. Tatizo ni moja, wamekuleta juzi huku mitandaoni ili ujibu mapigo.
 
SIJAWAHI kumuona
Huyu huwezi kumuona maana haingii kwenye vikao vya kujipendekeza. Anajimudu kimaisha na anasimamia misingi ya ccm. Anasema nyie mna utoto mwingi, na hata mara nyingi huwa nakuambia ww ni bendera fuata upepo.
 
Kwa uchambuzi huo basi mimi ni ccm huru, katiba mpya ni nguzo ya maendeleo endelevu
 
Jamaa ana utani mbaya, anasema ww ni ccm maslahi, nyie ni wale mliojiunga ili kulinda matumbo yenu. Tatizo ni moja, wamekuleta juzi huku mitandaoni ili ujibu mapigo.
Yote yangu, unalipi jingine mkuu
 
Waliopaswa kujua kipi kifanyike rais akifariki ni wale waliopo kwenye uongozi wa serikali maana wao ndio wanaoapa kuilinda katiba.sasa kama walikua hawajui ni uzwazwa wao kuongoza nchi kimazoea.kila watu katika jamii wana sehemu yao ndani ya katiba,kuna yanayowahusu wanasiasa ambayo ni sehemu ndogo sana na kuna yanayohusu makundi mengine katika jamii.
 
Na mimi nipo kwenye kundi lako, tatizo letu na sisi hatufahamiani, wala hatushighuliki kufahamiana ili kukusanya nguvu, laiti hawa wa kundi hili wangejitambua na kujua nafasi yao kwenye direction ya nchi basi hakuna ambaye angethubutu kuichezea nchi yetu...Kazi yangu mimi ya hiari ni kuongeza wingi wa watu wa kundi hili...Tufahamiane basi tukayajenge ndugu yangu CCM music
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…