Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Basi kuanzia leo ccm huru mtakua marafiki zangu , nilikua najiuliza why ccm wako hivi kumbe Kuna makundi ,asante KWA uchambuzi , ccm huru ndo tunawataka majukwaani sio hao wengine , ccm huru Safi sana
 
Sisi tulio ndani ya chama tunajuana.

Hawa wengi waliopo mitandaoni ni 'CCM limbukeni na CCM JAZA TUMBO'
Ila hatuna umoja kama ule wa akina mwl Nyerere wakati wa kudai uhuru...Tutahukumiwa kwakutoisimamia nchi hii na kuiacha ipelekwepelekwe na hawa maslahi, matumbo na limbukeni...Lets get our brains together and do something good for our country and everybody....

Tukisha weka mfumo ambao unaruhusu watu kula kwa nguvu zao wenyewe badala ya kutengeneza curtails na kutafuta political positions ili kuondoa wengi kwenye competition tutakuwa tumewarithisha vizazi vyetu nchi nzuri na yenye kuweza kujiendeleza....Huu utoto wa kusaka vyeo na nafasi umeambukizwa hadi kwenye taasisi zetu za elimu ya juu, so saaad! Watu wasio na uwezo wala maono wana gang up kwaajili ya kupata viposho na vi nafasi vya kupiga pesa za umma...God have mercy on us!
 
Na hakuna atayetaka waelemike au wajikwamue kiuchumi kwani ndio mtaji wao.

Hapa nchini tayari tuna matabaka,

Magufuli alijitahidi sana kuneutralise hiyo hali,

Lakini naona wenye uwezo Kwa Sasa wanarejea, hawataki Abadan kupoteza nafasi zao.
Subira ya vuta heri
 
Yule ni Mwenyekiti wetu, heshima kwake ni lazima. Ni CCM huru yule, ndio maana amesema katiba mpya sawa ila apewe muda kidogo tu
Na yupo open minded, ni mida hii ambapo huyu anaweza itengeneza CCM ya mfano kwakua anasikiliza na anaangalia vitu kwa jicho chanya
 
Kuna Mdau kauliza swali huku "Je! Mama yupo ccm ipi?"
Tafadhali majibu.....
Isije ikawa naye......teh teh teeeeee
Wewe mwenyewe umeweka hadi picha ya mama kwenye avatar yako kumbe hujui unashadadia nini!
Tukuiteje wew?
 
Bila kusahau tupo Wanufaika wa Ccm tangu kuzaliwa kwetu na hatukipendi chama.
Hawa sasa ndiyo cancer ya damu ndani ya CCM, maana wanapenda kubebwa na wamepewa mbeleko kqa muda mrefu hadi wamekuwa na qualifications kuwazidi wengi ila ndiyo wapo busy kukata wenzao miguu wasiwazidi wabaki peke yao waki enjoy cake ya nchi....
 
Na kuna sisi wananchi huru pia tuko ktk kuunga mkono juhudi hizo za kudai katiba mpya ya wananchi wote.
 
Ubovu wa katiba kipindi Cha JPM kila chama kilisoma namba sio wapinzani Wala chama tawala
Ila alihitajika kwakweli kwa jinsi tulivyokuwa tumekosa mwelekeo...Alitakiwa aturudishe kwenye mstari kisha aje sasa mwana demokrasia atupeleke sasa kama binadamu wenye kujitambua
 
Ccm huru nimeomba urafiki mapema na nyie msije sema ,sikusema japo mie CHADEMA ila malengo YENU ni mazuri KWA taifa , please
 
Wewe ukisikia neno 'katiba mpya' hupati taharuki kama wana CCM wenzako?
 
Mimi pia ni ccm taga najielewa na taka katiba mpya napendekeza kila chama cha sisia kimiliki jeshi lake ili kuondoa huu jinga siku nyingine ujirudie tena
 
Kazi mnayo.. wananchi wengine na sie tunafata ya Rais wetu.. kwani yeye yupo kundi lipi?
Wewe malaya jaribu kutafuta msimamo wako mwenyewe ambao unaona unafaa kwa maslahi mapana ya taifa hili. Usipende kuwa ni mtu wa bendera fuata upepo!!
 
Je, unaujua udhaifu wa babako kiasi kwamba umshauri asizae mtoto mwingine na mamako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…