Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

Huyu huwezi kumuona maana haingii kwenye vikao vya kujipendekeza. Anajimudu kimaisha na anasimamia misingi ya ccm. Anasema nyie mna utoto mwingi, na hata mara nyingi huwa nakuambia ww ni bendera fuata upepo.
Umemjibu vema kabisa.

Wanaonana mara kwa mara ni wale CCM JAZA TUMBO' na wale CCM limbukeni na hawa ndio wanaotuharibia chama chetu.

Yaani mtu unaenda CCM ili upate teuzi na si vinginevyo. Watu hawawazi kuhusu misingi ya chama ya 'Jembe na Nyundo' kwamba kila mtu achape kazi ki vyake asitegemee chama

Wapinzani wakija na hoja zao mtaani wao hukimbilia kutumia Polisi na hata Jeshi.

Wana ujinga mwingi sana utadhani wapinzani ni kama Simba wa porini ni wala watu.

Sisi CCM huru tunaamini tukikaa one to one na wapinzani lazima wapinzani waombe maji ya kunywa maana shughuli yetu si nyepesi hoja kwa hoja.

Sasa hawa jaza tumbo na limbukeni wanatufanya CCM tuonekane kama mazombi hv
 
Nimekusoma nimekusoma nimekusoma. Njoo PM kwa kumbukumbu zaidi
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…