#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Acha kihere here........nenda uko uko wakakuchome matakoni
 
Anakaa chanjo ya wazungu wakati bega la mkono wake wa kushoto kuna bonge la alama la chanjo ya ndui
 
Ndo shida ya kuwa na viongozi ambao ni conspiracy theorists. Yani hawa watu huwa wanaweweseka kama kuku aliyekatwa kichwa , akili zao huwa sio kamili

Magufuli ni mmoja wao

Pumbaf kabisa

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
 
Si kila kinachotoka kwa mzungu ni kizuri Mia Kwa Mia, ni lazima wenye akili kukichalenji!!

Licha ya wengi wazungu kuchanjwa, lakini bado hawajathibitisha kuwa waliochanjwa wako salama kiasi gani
Kuchallenge ni kuingia maabara na kuchambua kama chanjo ni salama ama laa na siyo kupiga mayowe majukwaani kuwa wazungu siyo watu wazuri na hawana nia njema na kudai kuwa chanjo hazifai!
 
Na mimi nahitaji chanjo ya mabeberu.

Maana nilishapigwa ya ndui bado kuna alama kwenye bega.
 
Kuna mtu amekufunga kamba Ili usipate hiyo chanjo? Mpaka Sasa upo lockdown,au unazurura kama wengine huku ukijitia kuchukua tahadhari dhidi ya corona kwa kubweka hapa jukwaani?
👉Wewe kusanya ukoo wako wote mkapate chanjo hakuna aliewazuia, usianze kutafutwa sababu ya kuwashawishi wengine, nikifa mimi kwa corona inakuuma nini?
 
Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
Mku kweli hapo kuna jambo limejificha. Why not have the same vaccine in Africa & America, Canada & EU what is the secret behind?
Why Africa peke yake na Vaccine yake alafu wao USA, Canada na EU wawe na yakwao?
 
Mku usilaumu tu bali fikiria kwanza. Kwanini chanjo ya USA, Canada na EU wanachanjo yao na ile ya kuja Africa isitumike kwao? kuna nini hapo?
 
Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
Hizi ndio akili za watetezi wa Magufuli!
Poor tanzania.
Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya.

Ngoja nikupe elimu rahisi.
Kwanza hiyo kitu hapo juu (Ramdesivir) sio chanjo bali ni dawa. Ni mojawapo ya dawa ya kupambana na virusi vya ukimwi (ARV) ambayo kwa sasa imeidhinishwa kutumika pia kama mojawapo ya dawa dhidi ya Covid katika baadhi ya nchi. Hiyo dawa imekuwepo miaka mingi nyuma kabla ya kuwepo kwa Covid duniani.

Pili, hiyo dawa (kama zilivyo bidhaa nyingine nyingi) ni mali yenye hatimiliki ya kampuni husika, ambapo wamiliki wake hutoa idhini ya kusambazwa au kuzalishwa sehemu mbalimbali kwa masharti yenye mipaka ili kulinda himaya za kibiashara.

Hili la bidhaa kuchagua nchi lipo hata kwenye bidhaa za iphone, Samsung, Cocacola, Pepsi, Guinness, Vitabu, Vyakula, Nguo nk.
Kifupi ni jambo la kawaida sana.
 

Hivi ni kwanini mnakereka mno na uwezekano wowote wa kuwahami watu na corona?

Mna maslahi gani kwenye vifo vya watu enyi mnaojifanya wakatoliki kuliko hata Papa mwenyewe?

Mungu mnayemwomba nyie ni huyu huyu tunayemwabudu sote?

Hivi ni kweli kuwa mnajidhania mna hata chembe ya hoja? Mbona hata kama mnayo mmeshindwa abadan kuiweka hadharani?

Hamtakuwa na wazimu kweli nyie?

Hata hivyo tambueni kuwa nchi hii si ya genge lenu peke yenu. Zaidi kabisa tambueni katika ugonjwa huu katu hatuwaungi mkono hata kidogo.

Kwa hiyo msitutishe wala kutufokea!
 
Nadhani uelewa wenu ni kipumbavu, chanjo anayopewa mazungu sio unayopewa wewe, na uwezi wao wa kukidhi hizo chanjo ni mkubwa Sana sasa iweje waanze na na group?
Hiyo ni zuga tu mnatakiwa kufa Ila hamjijui
Daaaa!!pathetic, kumbe hata hujui, lolote, eti chanjo anayopewa mzungu ni tofauti na mwafrica!!mzungu akitaka ufe, ni muda mfupi tu,.Hivi kweli wazungu waamue kuungana kupambana na huyo anaye kuja n
Mku usilaumu tu bali fikiria kwanza. Kwanini chanjo ya USA, Canada na EU wanachanjo yao na ile ya kuja Africa isitumike kwao? kuna nini hapo?
ninachofahamu, kuhusu hizi chanjo za covid 19!! Hakuna za africa wala ulaya!!ndio maana hadi sasa kuna mzozo unafukuta baina ya EU, na kampuni ya kutengeneza chanjo, kuwa walipewa pesa na EU, , toka kwenye utafiti kwa makubaliano kuwa watapewa kipaumbele kwenye chanjo itakapoanza kutumika!!sasa kiwanda kinaziuzia nchi nyingine, za marekani, na Africa wakati wao EU, bado hawajapata za kuwatoshereza?
 
Usiishie kulalama pekee, baada ya hapa, chukua hatua, Tafuta chanjo chanjwa kama wanavyofanya wengine
 
Maajabu ni kuwa baadhi wanasosema chanjo ina agenda ya siri wametumia msururu wa chanjo za huyo beberu utotoni na misaada lukuki kama ARV"s na hawajui lolote kuhusu chanjo wala ugonjwa kiundani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…