ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kama Tshishimbi wa kawaida basi wachezaji wengine wangecheza Ulaya
Kucheza ulaya inachangiwa na bahati ,mawakala na kuwahi Ku peak under 23,Leo hii Chama anafunga goli kama la Son ,anaburuza watu toka katikati lakini yupo TzKama Tshishimbi wa kawaida basi wachezaji wengine wangecheza Ulaya
Ni mtaa gani huo waliko?Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Hana lolote, nyie gongowazi hamjielewi tu, mtu anajipiga chenga mwenyew alafu mnashangilia nin sasa?Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unaamini kukanyaga mpira huku hujakabwa ni ufundi na unafanywa pekee na huyo morrison? Kwanza sio ufundi ni kitu cha kawaida ni kama kutoa pass, kuna mchezaji asiweza kutoa pass?Ni mtaa gani huo waliko
Mkuu hujanijibu swali langu?Kwa hiyo wewe unaamini kukanyaga mpira huku hujakabwa ni ufundi na unafanywa pekee na huyo morrison? Kwanza sio ufundi ni kitu cha kawaida ni kama kutoa pass, kuna mchezaji asiweza kutoa pass?
naunga mkono....WANANCHI SIO SHOW GAMEHata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Wafanye tuone....utuwekee na Clip,...mind mpira na kipaji pia.....hao wachazeji wako hawataweza punguza ujinga usijesababisha wakateguka...Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Hana lolote, nyie gongowazi hamjielewi tu, mtu anajipiga chenga mwenyew alafu mnashangilia nin sasa?
Nyie mngekua na triple c mwamba wa lusaka tusingelala
Yaani kukanyaga mpira ukiwa ujakabwa nao ni ufundi kwel?? Mtaani wana kibao wanafanya vike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mimi sio mjinga halafu kuamini kuwa kukanyaga mpira huku hujakabwa ni ufundi na haiwezekani kufanywa na mchezaji wa daraja la kwanza ni ujinga wa kiwango cha lami.Wafanye tuone....utuwekee na Clip,...mind mpira na kipaji pia.....hao wachazeji wako hawataweza punguza ujinga usijesababisha wakateguka...
Morrison anaweza...achana nae kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app