Tupunguze kumsifia Morrison

Tupunguze kumsifia Morrison

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
 
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote, nyie gongowazi hamjielewi tu, mtu anajipiga chenga mwenyew alafu mnashangilia nin sasa?
Nyie mngekua na triple c mwamba wa lusaka tusingelala
Yaani kukanyaga mpira ukiwa ujakabwa nao ni ufundi kwel?? Mtaani wana kibao wanafanya vike
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unaamini kukanyaga mpira huku hujakabwa ni ufundi na unafanywa pekee na huyo morrison? Kwanza sio ufundi ni kitu cha kawaida ni kama kutoa pass, kuna mchezaji asiweza kutoa pass?
Mkuu hujanijibu swali langu?
 
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.

Sent using Jamii Forums mobile app
naunga mkono....WANANCHI SIO SHOW GAME
 
Ccm imewaharibu watanzania,
Wao wanajadiri katila chuki tu hawaangali tena kuhusu ubora

Tuanze kutoa Uzi za kusifia kipaji chake then ndio tuje na Uzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye tuone....utuwekee na Clip,...mind mpira na kipaji pia.....hao wachazeji wako hawataweza punguza ujinga usijesababisha wakateguka...

Morrison anaweza...achana nae kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mimi sio mjinga halafu kuamini kuwa kukanyaga mpira huku hujakabwa ni ufundi na haiwezekani kufanywa na mchezaji wa daraja la kwanza ni ujinga wa kiwango cha lami.
 
Back
Top Bottom