Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama anauwezo angeenda hata South tu hapo,wachezaji WaTz na wakigeni hawatofautiani sana viwango,ila kwasababu wapo Simba na Yanga wanaangaliwa mara nyingi ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi,ila kwa tuliofield na sola la bongo tunaona mengi mazuri zaidi ya hayoKucheza ulaya inachangiwa na bahati ,mawakala na kuwahi Ku peak under 23,Leo hii Chama anafunga goli kama la Son ,anaburuza watu toka katikati lakini yupo Tz
Mtaani kwako hamna wachezaji mpira? Ok kama hamna basi tambua wachezaji wote wa mpira duniani wanaweza kukanyaga mpira...Najua utauliza clip..ni hivi wachezaji wengi hawafanyi kwa sababu haina faida yoyote kwa timu na kocha anaejitambua atakukataza kufanya huo upuuzi.Mkuu hujanijibu swali langu?
Kama Tshishimbi wa kawaida basi wachezaji wengine wangecheza Ulaya
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.
Clip sina mkuu ila week end hii Molinga nae atafanya.
Mbona unaonekana una hasira sana mkuu. ama kweli nimeamin Hawa ndugu zetu wa simba tuishi nao kwa akiliMtaani kwako hamna wachezaji mpira? Ok kama hamna basi tambua wachezaji wote wa mpira duniani wanaweza kukanyaga mpira...Najua utauliza clip..ni hivi wachezaji wengi hawafanyi kwa sababu haina faida yoyote kwa timu na kocha anaejitambua atakukataza kufanya huo upuuzi.
Wapi nilipoonyesha nina hasira mkuu?Mbona unaonekana una hasira sana mkuu. ama kweli nimeamin Hawa ndugu zetu wa simba tuishi nao kwa akili
unaweza uka-refer ulichoandika kabla ya hii post? ni wazi kuwa ulikuwa kwenye mood mbaya sanaWapi nilipoonyesha nina hasira mkuu?
Aaaah hapana sina hasira yoyote mkuu ni comments za kawaida tu.unaweza uka-refer ulichoandika kabla ya hii post? ni wazi kuwa ulikuwa kwenye mood mbaya sana
sawa mkuu ndivyo tunavyotaka wananchi. ni muda mrefu hatujawahi kuwashuhudia ma-ball dancer mahiri kama morson acha tufurahieAaaah hapana sina hasira yoyote mkuu ni comments za kawaida tu.
Ni bahat tu ulaya kucheza Kwan samata ana upiga mwingi Ni wa kawaida Sena connection TU za hapa na paleKama Tshishimbi wa kawaida basi wachezaji wengine wangecheza Ulaya
Inakuuma eeh?Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samatta namba tisa hatakiwi kuwa na vitu vingi ni kuweka mpira kunyavuNi bahat tu ulaya kucheza Kwan samata ana upiga mwingi Ni wa kawaida Sena connection TU za hapa na pale
kilicho akilini kitumie
Tuma clip ya hao jamaa wa mtaani tuwaoneHana lolote, nyie gongowazi hamjielewi tu, mtu anajipiga chenga mwenyew alafu mnashangilia nin sasa?
Nyie mngekua na triple c mwamba wa lusaka tusingelala
Yaani kukanyaga mpira ukiwa ujakabwa nao ni ufundi kwel?? Mtaani wana kibao wanafanya vike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweni hujui kuwa jamaa kacheza Orlando pirates?Kama anauwezo angeenda hata South tu hapo,wachezaji WaTz na wakigeni hawatofautiani sana viwango,ila kwasababu wapo Simba na Yanga wanaangaliwa mara nyingi ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi,ila kwa tuliofield na sola la bongo tunaona mengi mazuri zaidi ya hayo
Utakua punguani,maana umedandia gari wakati linamwendo mkaliKweni hujui kuwa jamaa kacheza Orlando pirates?
Mbona unajizalilisha? Uko field ya mpira field gani hiyo ambayo hujui hata kama Morrison kacheza south?
Kukanyaga mpira huku hujakabwa eti ni ufundi, wachezaji wote walioko mtaani mpaka ligi kuu wanaweza kufanya vile.