Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama anauwezo angeenda hata South tu hapo,wachezaji WaTz na wakigeni hawatofautiani sana viwango,ila kwasababu wapo Simba na Yanga wanaangaliwa mara nyingi ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi,ila kwa tuliofield na sola la bongo tunaona mengi mazuri zaidi ya hayoKucheza ulaya inachangiwa na bahati ,mawakala na kuwahi Ku peak under 23,Leo hii Chama anafunga goli kama la Son ,anaburuza watu toka katikati lakini yupo Tz