Tupunguze kumsifia Morrison

Tupunguze kumsifia Morrison

Kucheza ulaya inachangiwa na bahati ,mawakala na kuwahi Ku peak under 23,Leo hii Chama anafunga goli kama la Son ,anaburuza watu toka katikati lakini yupo Tz
Kama anauwezo angeenda hata South tu hapo,wachezaji WaTz na wakigeni hawatofautiani sana viwango,ila kwasababu wapo Simba na Yanga wanaangaliwa mara nyingi ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi,ila kwa tuliofield na sola la bongo tunaona mengi mazuri zaidi ya hayo
 
Mkuu hujanijibu swali langu?
Mtaani kwako hamna wachezaji mpira? Ok kama hamna basi tambua wachezaji wote wa mpira duniani wanaweza kukanyaga mpira...Najua utauliza clip..ni hivi wachezaji wengi hawafanyi kwa sababu haina faida yoyote kwa timu na kocha anaejitambua atakukataza kufanya huo upuuzi.
 
Mwambieni huyo Morrison aache wizi, hiyo Stail ya jana ni ya mchezaji mwenzake wa ORLANDO PIRATES hana jipya lolote, angalia picha hapo chini. Mwizi ni mwizi tuu haachi asili yake
 
Attachments

  • VID-20200127-WA0021.mp4
    4.7 MB
Mtaani kwako hamna wachezaji mpira? Ok kama hamna basi tambua wachezaji wote wa mpira duniani wanaweza kukanyaga mpira...Najua utauliza clip..ni hivi wachezaji wengi hawafanyi kwa sababu haina faida yoyote kwa timu na kocha anaejitambua atakukataza kufanya huo upuuzi.
Mbona unaonekana una hasira sana mkuu. ama kweli nimeamin Hawa ndugu zetu wa simba tuishi nao kwa akili
 
Kama Tshishimbi wa kawaida basi wachezaji wengine wangecheza Ulaya
Ni bahat tu ulaya kucheza Kwan samata ana upiga mwingi Ni wa kawaida Sena connection TU za hapa na pale

kilicho akilini kitumie
 
Hata mimi nimetokea kumkubali mbali ya kuwa naishabikia Yanga,lakini nimewaza tu hizi sifa na covearage kubwa anazopata na ugeni wake asije akavimba kichwa akashindwa ku deliver hasa kile kinachohitajika...akaanza haribu.
Basi mdogo mdogo jamani hasa nyie watu wa media.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuuma eeh?
Haya meza boga basi
 
Ni bahat tu ulaya kucheza Kwan samata ana upiga mwingi Ni wa kawaida Sena connection TU za hapa na pale

kilicho akilini kitumie
Samatta namba tisa hatakiwi kuwa na vitu vingi ni kuweka mpira kunyavu
 
Hana lolote, nyie gongowazi hamjielewi tu, mtu anajipiga chenga mwenyew alafu mnashangilia nin sasa?
Nyie mngekua na triple c mwamba wa lusaka tusingelala
Yaani kukanyaga mpira ukiwa ujakabwa nao ni ufundi kwel?? Mtaani wana kibao wanafanya vike
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma clip ya hao jamaa wa mtaani tuwaone
 
Kama anauwezo angeenda hata South tu hapo,wachezaji WaTz na wakigeni hawatofautiani sana viwango,ila kwasababu wapo Simba na Yanga wanaangaliwa mara nyingi ndiyo maana kelele zinakuwa nyingi,ila kwa tuliofield na sola la bongo tunaona mengi mazuri zaidi ya hayo
Kweni hujui kuwa jamaa kacheza Orlando pirates?
Mbona unajizalilisha? Uko field ya mpira field gani hiyo ambayo hujui hata kama Morrison kacheza south?
 
Kweni hujui kuwa jamaa kacheza Orlando pirates?
Mbona unajizalilisha? Uko field ya mpira field gani hiyo ambayo hujui hata kama Morrison kacheza south?
Utakua punguani,maana umedandia gari wakati linamwendo mkali
 
Back
Top Bottom