Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.
 
Kwa ili Kenya mmeonesha ukomavu wa kisiasa....hata akishindwa still Uhuru atakua yupo moyoni si kwa baadhi ya wakenya hata kwa raia wa nchi nyingine...ameonyesha democracy
 
Uhuru anastahili pongezi saana sio kila kiongozi wa nchi zetu atakubali kilichofanyika.

Hongera Uhuru Kenyata.
 
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.
Nje ya mada kidogo,hivi we jamaa ni mwalimu?unaweza kuandika mada kama unafundisha darasani.. naelewa unachoandika kwanza kiswahili safi na mpangilio mzuri wa mada husika...Hongera kwa ilo, kama sio mwalimu basi lakini unauwezo mzuri wa kuandaa makala! !
tunawakia kila ka kheri jirani sababu uchaguzi Ni jambo nyeti halihitaji figisu kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said Mkuu
Kwa hili tupo pamoja! Hongereni sana kwa kuionyesha dunia hata Africa inawezekana.
I salute Uhuru
Mungu azidi kuwasimamia mvuke salama. Na hili nalo litapita. Muwe na Amani!
 
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.
Ongera! Inaonyesha ukomavu wa Hali ya juu
 
Naomba uraia wa kenya.
Mnipe procedures
 
What happened today in Kenya is Historical,
Very uncommon in African countries,
Big up Kenyans, kwa hapo sio Tanzania tu, bali Nchi za Kiafrica zinahitaji kujifunza Kenya,
 
Impressed.

So it means kuna some forces that are trying to ensure Uhuru is leading Kenya by any means necessary.
 
MK254

kenya inahitaji utulivu na subira katika kipindi hiki kingine cha uchaguzi wa marudio. kwani uchaguzi katika nchi zetu za Afrika ni kama ugonjwa, chochote chaweza kutokea kufa au kupona. ni kama mimba, kwa nchi za Afrika ni ugonjwa.
wakenya mnapaswa kutulia msimlaumu yeyote kwa yaliyojiri, maana kutafuta mchawi au night runners kunaweza kuvuruge lengo zuri la kuwa na uchaguzi ulio wa kweli. fanyeni uchaguzi na msonge mbele.
 
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.
Mkuu, hili jambo kibinafsi limenipata 'off guard'. Mimi nakubaliana nawe kwa hali na mali. Kivyangu nilikuwa nishaa piga moyo konde tiyari kwa matokeo yoyote yale. Nilipo saa hii tumechanganikana wakenya kutoka matabaka karibia yote na tunachapa kazi bila wasiwasi. Haijalishi ni nani atakae ibuka na ushindi, cha muhimu ni kuthibiti hali iliyo ya kidemokrasia kabla, kwenye na baada ya ichaguzi. Mungu ailinde nchi yetu tukufu.
 
Tatizo Kenya ni ukabila na mkiweza kuachana nao na kupiga kura kwa kufuata sera na ilani za uchaguzi itakuwa vyema.

Nikisikiliza wa-Kenya wa kutoka Central na Rift valley pamoja na huko Nyanza walivyopokea maamuzi ya Supreme Court kuwa uchaguzi urudiwe naona majibu yanayoashiria ukabila na Ukanda.

Kwa mana hiyo mshindi wa marudio ya uchaguzi ameshafahamika.
 
Nje ya mada kidogo,hivi we jamaa ni mwalimu?unaweza kuandika mada kama unafundisha darasani.. naelewa unachoandika kwanza kiswahili safi na mpangilio mzuri wa mada husika...Hongera kwa ilo, kama sio mwalimu basi lakini unauwezo mzuri wa kuandaa makala! !
tunawakia kila ka kheri jirani sababu uchaguzi Ni jambo nyeti halihitaji figisu kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe!! Asante ila sipo kwenye taaluma ya elimu....
Maisha yangu ya kila siku yanahusu kuchambua taarifa za mifumo kama inavyoonekana kwenye picha hii hapa

screenshot.jpg
 
Jaji aliyefanya judgement atabaki kwenye historia ya Afrika daima,. Wa Kenya muendelee kuwa watulivu kusubiri utaratibu unaofuatia.

G.Don-Master.
 
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.

Kweli hapo. Sio ushindi wa vyama wala wa wanasiasa bali wa Wakenya wote na utulivu wa nchi nzima. Ni ushindi wa heshima ya sheria na katiba ya nchi ya Kenya.
 
Nimeona kweye mitandao ya kijamii watu wanarushiana vijembe full, mipovu balaa. Jameni nchi hii itabaki kuwa Kenya. Ndani ya siku 60 tunarudi kwenye uchaguzi, cha msingi kila mmoja wetu ahifadhi kadi yake ya kura na tujitokeze kwa wingi siku ikifika.

Siku ya leo inafaa kuwa ya furaha kwetu sote kwamba imedhihirishwa uhuru wa mihili upo na sitegemei kama ipo siku itakuja tucharangane mapanga kwajili ya uchaguzi. Uhuru wa mahakama umeonekana na umesimama wazi na wima. Watakaoshindwa siku za usoni wamepata wapi pa kupeleka malalamiko yao maana watalindwa ilmradi wana hoja za msingi.

Binafasi pamoja na kwamba nilimuunga na nitazidi kumuunga rais Uhuru mkono na kumpigia kura, lakini ushindi wake ni bora uwe wa kukubalika ili sote tusonge mbele kwa pamoja bila majungu au machungu.
Ikitokea ashindwe kwenye marudio, sisi tunaomuunga mkono tuwe tayar kumpokea Raila Odinga kama rais wetu kwa miaka mitano ijayo, nao pia mlengo unaomuunga Odinga pia uwe tayari kukubali wakishindwa kihalali.
Uzalendo wangu kwa nchi yangu unazidi kuongezeka kila uchao kwa ajili ya hatua kama hizi.
MK254 huwa nakukubali kwenye swala moja tuu. Ukweli wa unacjokipenda huwa huufichi. Ingawa mm na ww unajua huwaga tunapatana kwenye vitu Gani na kutofautiana wapi lakin nakupa hongera sana sana kwa kuweka uchama na unazi wako pembeni na kuongea kwa hekima sana.

Ni busara zaidi mkaeneza upendo na amani amongst you kuliko vijana wengine kuanza Kueneza maneno y vijembe na uchochez kwenye mitandao.

Take it from me Uhuru ameonyesha ukomavu sana na ni mtu asiyependa mabavu wala ugomvi.

Najaribu kuwaza kwa mapana sina hakika kama raila angeweza kufanya kama uhuru alivyo Fanya.

Kiukweli Kenya mmetuonyesha utamu wa uhuru wa mihimili ya dola

Wish you all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Kenya ni ukabila na mkiweza kuachana nao na kupiga kura kwa kufuata sera na ilani za uchaguzi itakuwa vyema.

Nikisikiliza wa-Kenya wa kutoka Central na Rift valley pamoja na huko Nyanza walivyopokea maamuzi ya Supreme Court kuwa uchaguzi urudiwe naona majibu yanayoashiria ukabila na Ukanda.

Kwa mana hiyo mshindi wa marudio ya uchaguzi ameshafahamika.
Kwani Tz hakuna ukabila? Saivi nchi ni ya Magufuli na wasukuma wenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom