Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

Ana umri gani? Yeye anaugua homa ya mapafu na sio pressure. Hata hivyo hata wale wanaokula kitimoto sana wako hatarini pia maradufu.
Tupe takwimu za masheikh waliofariki mwaka mmoja uliopita. Tuone kama Kuna correlation kati ya vifo vyao na unachoongea!

Masheikh kama binadamu wanaugua na kufa Kam watu wengine! Pope Francis anakula ubwabwa wa wapi mbona Yuko hoi?
 
Sheikh Mohammed Idd (RIP) kafa ghafla akiwa Bado mdogo sana, na wengine wengi akiwemo baba yangu pia. Wengine wamefia kwa waganga wa kienyeji wakidhani wamerogwa mskitini.
 
Jogging peke yake haitoshi, wapinguze kula kwenye shuguli zao. Hasa nyama na wanga/sukari.
Mbona unasisitiza sana kutokula "nyama nyingi"?
Una uhakika na elimu yako ya lishe?
 
Mbona unasisitiza sana kutokula "nyama nyingi"?
Una uhakika na elimu yako ya lishe?
Kama hujui ni heri ukakaa kimya u some kazi za wenzako au uliza swali namna nyama nyingi iliyonona kila siku ilichanganywa na ubwabwa pamoja inavyohatarisha afya ya mlaji
 
Vipi kuhusu wale walevi na Wala kitimoto? Hawapati madhara?

Tena mtu mmoja anakula kitimoto kilo 3! Hivi inawezekanaje?

Sijawahi kusikia mtu anakula mbuzi au ng'ombe hata nusu kilo mtu mmoja!
 
Tupe takwimu za masheikh waliofariki mwaka mmoja uliopita. Tuone kama Kuna correlation kati ya vifo vyao na unachoongea!

Masheikh kama binadamu wanaugua na kufa Kam watu wengine! Pope Francis anakula ubwabwa wa wapi mbona Yuko hoi?
Pope upinde ndio unamfanya awe mgonjwa kila siku
 
Vipi kuhusu wale walevi na Wala kitimoto? Hawapati madhara?

Tena mtu mmoja anakula kitimoto kilo 3! Hivi inawezekanaje?

Sijawahi kusikia mtu anakula mbuzi au ng'ombe hata nusu kilo mtu mmoja!
Wale jamaa wana matumbo ya ziada

Kuna tumbo linahifadhi sadaka

Kuna tumbo linahifadhi mchango ya ubarikio na komonio

Kuna tumbo kinahifadhi NGURUWE,divai na mkate (choo cha bwana)

So ikitokea tumbo moja kimepwaya basi zile kilo 3 za kitimoto za ziada hua zinahifadhiwa huko
 
Vyakula kama pilau, ubwabwa, ugali, tambi, biliani, chai, tende, harua na soda na minyama mingi kwenye sherehe, visomo na Dua Kila siku kwa masheikh ndio chanzo kikuu cha matatizo haya.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
 
Hehehe
 
Vipi kuhusu wale walevi na Wala kitimoto? Hawapati madhara?

Tena mtu mmoja anakula kitimoto kilo 3! Hivi inawezekanaje?

Sijawahi kusikia mtu anakula mbuzi au ng'ombe hata nusu kilo mtu mmoja!
Nguruwe ni kati ya wanyama ambao nyama yao imejaa sumu nyingi (omnivorous). Hasa kutokana na tabia yao ya kula Kila kitu (majani, nyama, mizizi, matunda, nk). Pamoja na kuwa na mafuta mengi mabaya kiafya lakini Wana sumu nyingi sana. Stroke na Cancer nyingi zinatolana na ulaji wa kitimoto kwa wingi.
 
Nachojua Ma Ustadh wanapenda michezo ya Karate, judo kwa ajili ya kuwapiga makafiri.
Hata kule kibiti ndio zilikuwa zao kwaiyo hao mazoez wanapiga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…