Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

Sema ukifika Mfungo ndio wanabugia sana misosi...yan msimu wa kufunga ndio makachori, mayai, mihogo ya kuparaza, tambi,nyama,biriani na uji kwenye mlo mmoja tu wa daku.
Apo stroke lazima.
 
Kuwasema mashekhe pekee haitoshi.

Unganishapo mapadre na watawa wote wa aina hiyo.

Wote hao migonjwa yasiyoambukiza inawaandama sana kutokana na life style yao.
 
Vipi kuhusu wale walevi na Wala kitimoto? Hawapati madhara?

Tena mtu mmoja anakula kitimoto kilo 3! Hivi inawezekanaje?

Sijawahi kusikia mtu anakula mbuzi au ng'ombe hata nusu kilo mtu mmoja!
Kitimoto kimefikaje huku kwenye uzi wa ma sheikh?!
 
Nachojua Ma Ustadh wanapenda michezo ya Karate, judo kwa ajili ya kuwapiga makafiri.
Hata kule kibiti ndio zilikuwa zao kwaiyo hao mazoez wanapiga sana
Unazungumzia al-shabab, sio masheikh
 
Sema ukifika Mfungo ndio wanabugia sana misosi...yan msimu wa kufunga ndio makachori, mayai, mihogo ya kuparaza, tambi,nyama,biriani na uji kwenye mlo mmoja tu wa daku.
Apo stroke lazima.
Wanajilipa wenyewe. Kanuni ya saumu ni kuacha kula vyakula vyote vya mchana na kula vile vya usiku TU, futari inayojumuisha pamoja vyakula vya mchana na vya usiku (chai, andazi, bagia, majimbi, matunda, tende, tambi, nyama, maziwa, nk) walah hiyo sio futari bali kujilipa mwenyewe vyakula ulivyovikosa mchana. Kifupi lengo la saumu halikufikiwa. Hujafunga.
 
Mkuu, na lile vazi la kanzu lina wasaidia sana kuficha vitambi.⁶
Vazi la kanzu sio vazi la kiislamu, ni vazi la watu wa Asia ya kati na waarabu, Hata wayahudi linawahusu. Kule kwao linavaliwa na hata majambazi, walevi, wanzinzi na wahalifu wengine maana ni vazi lao. Waislamu wetu huku walidandia treni kwa mbele TU kuvaa kanzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…