Akili zako ni mbovu ...Muungano haufai tayari ulisha haribika na kuoza ni kama ndoa iliyo fitinika sana hekima ni kuivunja ......mtu akisema serikali moja au mbili au tatu ni upuuzi mtupu muungano unatakiwa kuvunjwa haraka sana .Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na serikali yake kamili lakini masuala ya ulinzi wa mipaka, mambo ya nje na rasilimali ndio yanaamuliwa Copenhagen.
Zanzibar iachwe na serikali yake kamili ijiamulie mambo yake yote kasoro Ulinzi wa mipaka na mambo ya nje tu ndio yabaki kuwa mambo ya muungano, katiba ya Tanzania irekebishwe kuondoa kifungu cha kutaka Rais au Makamu wa Rais kutoka Zanzibar, wabunge wa Zanzibar wabaki Zanzibar tu badala yake watume wawakilishi wachache kama itakavyoafikiwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama.
Tofauti ya structures za hii miungano miwili ni ndogo sana.Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na serikali yake kamili lakini masuala ya ulinzi wa mipaka, mambo ya nje na rasilimali ndio yanaamuliwa Copenhagen.
Zanzibar iachwe na serikali yake kamili ijiamulie mambo yake yote kasoro Ulinzi wa mipaka na mambo ya nje tu ndio yabaki kuwa mambo ya muungano, katiba ya Tanzania irekebishwe kuondoa kifungu cha kutaka Rais au Makamu wa Rais kutoka Zanzibar, wabunge wa Zanzibar wabaki Zanzibar tu badala yake watume wawakilishi wachache kama itakavyoafikiwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama.
Greenland wana mamlaka karibia yote kama Zanzibar waliyo nayo sasa ila hawaingilii mambo ya Denmark kama Zanzibar ambavyo imejipenyeza/inaingilia katika mambo ya Tanganyika.Tofauti ya structures za hii miungano miwili ni ndogo sana.
Greenland wana mamlaka gani ambayo Zanzibar hawana?
Unaweza kutoa mfano wa jinsi Zanzibar inavyoingilia mambo ya bara?Greenland wana mamlaka karibia yote kama Zanzibar waliyo nayo sasa ila hawaingilii mambo ya Denmark kama Zanzibar ambavyo imejipenyeza/inaingilia katika mambo ya Tanganyika.
Kinachoshangaza ni jinsi Watanganyika wasivyo na wivu kabisa na Tanganyika yao, ukienda Marekani haitakaa itokee wakakubali raia kutoka kisiwa cha Puerto Rico wakawaongoza katika federal government, Ukienda China huwezi kukuta China bara wanakubali Hong Kong au Taiwan kuwa na mamlaka sawa au juu ya China, Northern Ireland haiwezi kuwa na maamuzi katika mambo ya ndani ya EnglandHuu muungano utasema waasisi wake walikuwa wanakimbizwa muungano mzuri ni ule wa serikali tatu ili Tanganyika na ifufuke.
Greenlanders nao ni full Danish citizens. Wana haki zote ambazo wenzao wa mainland wanazo. Danish laws haziwazuii kushika mamlaka katika Danish government.Kuwa na watawala na viongozi kutoka Zanzibar wanaofanya maamuzi kwa mambo ya bara.
Muungano unamapunguvu yake labda tuongelee ile hoja ya wanaohoji uzanzibari na jinsia yake hao nadhani hoja yao haina mashiko.WATANZANIA BARA NI WABINAFSI SANA NA WENYE ROHO ZA CHUKI DHIDI YA ZANZIBAR ! LEO HII KWASABABU RAIS SAMIA NI MZANZIBAR NDIO WANAONA MUUNGANO UNA MAPUNGUFU NA HAIFAI KUWEPO.
Na nyumba zetu zilizoki Bara itakuwajeAkili zako ni mbovu ...Muungano haufai tayari ulisha haribika na kuoza ni kama ndoa iliyo fitinika sana hekima ni kuivunja ......mtu akisema serikali moja au mbili au tatu ni upuuzi mtupu muungano unatakiwa kuvunjwa haraka sana .
Danish laws hazizuii Greenlandres kushika madaraka katika serikali ya Denmark lakini pia hazijaweka sharti au ulazima kwamba Greenlanders lazima wawepo kwenye serikali ya Denmark.Greenlanders nao ni full Danish citizens. Wana haki zote ambazo wenzao wa mainland wanazo. Danish laws haziwazuii kushika mamlaka katika Danish government.
Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na serikali yake kamili lakini masuala ya ulinzi wa mipaka, mambo ya nje na rasilimali ndio yanaamuliwa Copenhagen.
Zanzibar iachwe na serikali yake kamili ijiamulie mambo yake yote kasoro Ulinzi wa mipaka na mambo ya nje tu ndio yabaki kuwa mambo ya muungano, katiba ya Tanzania irekebishwe kuondoa kifungu cha kutaka Rais au Makamu wa Rais kutoka Zanzibar, wabunge wa Zanzibar wabaki Zanzibar tu badala yake watume wawakilishi wachache kama itakavyoafikiwa kwenye kamati ya bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama.
Safi sana. Watanganyika ni........WATANZANIA BARA NI WABINAFSI SANA NA WENYE ROHO ZA CHUKI DHIDI YA ZANZIBAR ! LEO HII KWASABABU RAIS SAMIA NI MZANZIBAR NDIO WANAONA MUUNGANO UNA MAPUNGUFU NA HAIFAI KUWEPO.
LAKIN WAMESHAU KUWA 2012 UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR WALIKUWA HAWAUTAKI MUUNGANO NA WAKAANDAMANA LAKINI MATOKEO YAKE WALISINGIZIWA KESI ZA UGAIDI NA WENGINE KUFIKUA GEREZANI KEKO.
WALIO PONA NI WALE BAADA YA MAMA SAMIA KUINGIA MADARAKANI
LAKIN LEO HII WANAKUJA VIJANA WASHAMBA WASHAMBA KUTOKA VIJIJINI HUKO MBWINDE KWA SABABU RAIS NI MZENJI ETI NA WAO HAWATAKI MUISLAMU WA ZANZIBAR.
ILA KIPINDI KILE WALIPIGA KIMYA WAO NA MMASKOFU WAO WAKATI UAMSHO WAKIPEWA KESI ZA HILA KUWA NI MAGAIDI
Wewe kidampa itakuwa ulikuwa hujazaliwa au ni kilaza historia kutokuja Watanganyika wamekuwa wakiidai Tanganyika tangu enzi za G55, enzi za Mtikila mpaka wakati wa harakati za rasimu ya katiba ya Warioba iliyovurugwa na wahuni.WATANZANIA BARA NI WABINAFSI SANA NA WENYE ROHO ZA CHUKI DHIDI YA ZANZIBAR ! LEO HII KWASABABU RAIS SAMIA NI MZANZIBAR NDIO WANAONA MUUNGANO UNA MAPUNGUFU NA HAIFAI KUWEPO.
LAKIN WAMESHAU KUWA 2012 UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR WALIKUWA HAWAUTAKI MUUNGANO NA WAKAANDAMANA LAKINI MATOKEO YAKE WALISINGIZIWA KESI ZA UGAIDI NA WENGINE KUFIKUA GEREZANI KEKO.
WALIO PONA NI WALE BAADA YA MAMA SAMIA KUINGIA MADARAKANI
LAKIN LEO HII WANAKUJA VIJANA WASHAMBA WASHAMBA KUTOKA VIJIJINI HUKO MBWINDE KWA SABABU RAIS NI MZENJI ETI NA WAO HAWATAKI MUISLAMU WA ZANZIBAR.
ILA KIPINDI KILE WALIPIGA KIMYA WAO NA MMASKOFU WAO WAKATI UAMSHO WAKIPEWA KESI ZA HILA KUWA NI MAGAIDI
Ni kweli, lakini nadhani history nayo ina sehemu yake. Greenland haijawahi kuwa taifa huru kama ambavyo Zanzibar imewahi kuwa.Danish laws hazizuii Greenlandres kushika madaraka katika serikali ya Denmark lakini pia hazijaweka sharti au ulazima kwamba Greenlanders lazima wawepo kwenye serikali ya Denmark.