Tusaidiane hapa....

Tusaidiane hapa....

Kibunango

Platinum Member
Joined
Aug 29, 2006
Posts
8,468
Reaction score
2,349
Photo0833.jpg
Ni sahihi kusema hivyo?
 
Ni sahihi kwa kiswahili cha wakenya, wazaire, warundi, na wazungu.
Si sahihi kwa kiswahili chetu.
 
tujenge uchumi wetu
Inategemea wanafocus nini, kama huo Uchumi Unahusu NCHI basi wako sahihi kwa maana ya Nchi ni yetu, na kama Uchumi ulioandikwa hapo unawahusu Watu basi sio sahihi kwani huwezi kusema Uchumi ni yetu. (vilevile kinyume chake pia)
 
uchumi ni supermarket....nadhani wanamaanisha wajenge supermarket yao
 
Baada ya hizi salaamu na Merry X-Mass tutaendele kuchangia Uchumi Yetu au ndo tushamaliza??? !!!!!!!
Ha ha ha! Tutaendelea, hapo tunapumzika kidogo na kikombe cha kahawa manaake uchambuzi huu wa Uchumi Yetu ni mgumu kidogo🙂
 
Baada ya hizi salaamu na Merry X-Mass tutaendele kuchangia Uchumi Yetu au ndo tushamaliza??? !!!!!!!

subiri wewe uchumi baadae....mpenzi Rungu....utapenda maji ya mzabibu myeupe au myekundu
 
subiri wewe uchumi baadae....mpenzi Rungu....utapenda maji ya mzabibu myeupe au myekundu
Ningependa nianze na myeupe kwanza halafu nimalizie na myekundu. Kiu yangu kali ati!
 
sishindwi wala silegei....nshaambiwa siri ya mtungi aijuae kata.....he he.,...we twen'zetu bana

inawezekana ikawa hayupo kweli hapa eeh...sasa inakuwaje? tukutane dar west au?
 
inawezekana ikawa hayupo kweli hapa eeh...sasa inakuwaje? tukutane dar west au?

imeshakuwa kiwingu hapo.....njoo hapa samaki samaki tuanzie safari hapo....ili wanga wajifehemu
 
Back
Top Bottom