Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Karibu wakuu wangu! Wakurya, waarusha, wamasai, wagogo na experts wengine wa 🥩🥩🥩
Mchawi chumvi tuChoma nyama, ikiiva kula, resaipu waachie wajawazito
Mkiwa mnavuta bangi muwe mnapumzika kwanza alafu mnarudi kwenye mishe.Choma nyama, ikiiva kula, resaipu waachie wajawazito
Umeshauriwa uwe na chumvi, pia pilipili isikose. Hivyo vingine uvitakavyo ni kwa ajili ya wanawake wa KizanzibariMkiwa mnavuta bangi muwe mnapumzika kwanza alafu mnarudi kwenye mishe.
Mimi nyamachoma napenda ya kienyeji, maana yake isiyokuwa na viungo vingi. I prefer chumvi, mix ya limao na ndimu, white vinegar kidogo na mafuta ya kula kidogo.
Kuku ni nyamaSijawahi vutiwa na nyama ya kuchoma kiufupi nyama kwangu ni chakula cha hovyo labda kuku na samaki
Tangawizi, limao/ndimu na chumvi.Karibu wakuu wangu! Wakurya, waarusha, wamasai, wagogo na experts wengine wa 🥩🥩🥩
View attachment 3391105
Tangawizi kitunguu swahumu pilipili limau unazisaga kwa pamoja kisha unachanganya kwenye nyama yako ya unakaa kwa muda kisha unaanza kuichoma
Nafahamu ila ng'ombe kondoo mbuzi nguruwe na zinazofanana na hizo kwangu🚮Kuku ni nyama
GWAMAKA USWEGETangawizi kitunguu swahumu pilipili limau unazisaga kwa pamoja kisha unachanganya kwenye nyama yako ya unakaa kwa muda kisha unaanza kuichoma
Masaa manne hadi tano ni sawaTangawizi kitunguu swahumu pilipili limau unazisaga kwa pamoja kisha unachanganya kwenye nyama yako ya unakaa kwa muda kisha unaanza kuichoma