Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mimi nakula zooote hadi ya nyoka.Nafahamu ila ng'ombe kondoo mbuzi nguruwe na zinazofanana na hizo kwangu🚮
Mimi nakula zooote hadi ya nyoka.Nafahamu ila ng'ombe kondoo mbuzi nguruwe na zinazofanana na hizo kwangu🚮
Kongole kwakoMimi nakula zooote hadi ya nyoka.
Ndio tena hapo viungo vinakuwa vime jichanganya vizr sanaMasaa manne hadi tano ni sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala ugali maharage kila siku wanashangaa mnavyowqnyanyasa kihisia
Kwa nn unaweka limao, ndimj then vinegar?Mimi nyamachoma napenda ya kienyeji, maana yake isiyokuwa na viungo vingi. I prefer chumvi, mix ya limao na ndimu, white vinegar kidogo na mafuta ya kula kidogo.
Chagua nyama nzuri na laini, Mix ingredients zako kwenye bakuli tofauti (Chumvi, mafuta, vinegar, ndimu, limao) Then ipake nyama ifunike ipumzike kwa muda mrefu kidogo ili viungo viingie vizuri. Then choma kwa moto mdogo mdogo isibabuke iive taratibu.
Ukitaka yenye mbwembwe kidogo ongeza barbecue sauce, soy sauce , Tangawizi na garlic kwenye marinade yako.
Wali + Maharage = Hapa mtoto hachezi mbali.Wala ugali maharage kila siku wanashangaa mnavyowqnyanyasa kihisia
HAtuko hapa kukusanya maoni how feel about meat. Shut the f off.Sijawahi vutiwa na nyama ya kuchoma kiufupi nyama kwangu ni chakula cha hovyo labda kuku na samaki
Zote zinafanya kazi moja, kwangu mimi huwa nataka kuachieve aroma naamini ndimu na limao zina aroma tofauti. Vinegar ina lainisha nyama haraka. Cheza na kipimoKwa nn unaweka limao, ndimj then vinegar?
Unaweka chumvi then unaweka soya sauce?
Pia unaichoma kwa moto mdogo ili iive mpaka ndani isiungueMchawi chumvi tu
Nimekuja ngoja nile kwanza😀😀
😂😂Mbna wajawazito jamnChoma nyama, ikiiva kula, resaipu waachie wajawazito
Aombe recipe ya kupika dagaa bila nyanya😂😂Sahivi akaunti bado inapumua,nakusubiri katikati ya mwezi
Kwamba wewe njemba? Sorry broNishatoa hapo maelezo
Af uswege mbona kama ndugu wa shemeji yangu
Ndio boss vip?Kwamba wewe njemba? Sorry bro