Tusaidiane recipe nzuri ya nyama choma, viungo na namna ya kuichoma iwe tamu na laini

Tusaidiane recipe nzuri ya nyama choma, viungo na namna ya kuichoma iwe tamu na laini

Kwa tusiojua viungo vya kizungu
Chumvi
Ndimu au limao au vinegar
Ajina moto
Tangawiz
Kitunguu swaumu
Meat masala
Soy sauce hii ina chumv ivo kuwa makin wakat unaweka
Mafuta kiijiko kimoja cha chakula

Saga kitunuu swaum,tamgawiz,
Weka katika bakuli hivo viungo vyote ongeza na kijiko cha mafuta koroga had vichanganyike kisha paka huo mchnagnyiko kwenye nyama iache kwa muda kidogo hata lisaa ni sawa kisha anza kuchoma kma mchnagnyikk utabaki utakuwa unapaka kidogo kidogo huku unachoma nyama yako
Financial Analyst
Hivi ule uzi wangu wa kutafuta mke wewe hukuuona? Sio kwa mapishi haya 😜😜
 
Zote zinafanya kazi moja, kwangu mimi huwa nataka kuachieve aroma naamini ndimu na limao zina aroma tofauti. Vinegar ina lainisha nyama haraka. Cheza na kipimo

Chumvi, soya sauce zina kazi inayofanana iła ukiweka zote kuna tofauti wa ladha, tena cheza na kipimo.
Chumvi acha, weka condiments tu. Nakupa kitu hiki kitafute kinaitwa chin su fish sauce zwe unaitumia. Kwa vyakula vya kivetnam na kiasia hatutumii chumvi kabisa. Ni unyama sana, anza kutumia na Basil na pilipili manga
 
Unataka kuchoma nyama.

Kwanza anza na ukataji. Kata nyama kama slices za mkate.

Mahitaji
1. Paprika
2. Garlic
3. Black pepper kwa mbali kidogo
4. Plain yogurt chumvi kidogo
5. Tenderizer
6. Vitunguu

Changanya Paprika, Garlic, pepper na tenderiser vyote kwenye yogurt. Acha ilale kwenye fridge.

Kesho yake washa moto wako wa kutosha nje....kata kitunguu na ufanye kama unapangusa waya wako wa kuchomea nyama. Anza kuchoma nyama yako...utanishukuru.
 
Chumvi acha, weka condiments tu. Nakupa kitu hiki kitafute kinaitwa chin su fish sauce zwe unaitumia. Kwa vyakula vya kivetnam na kiasia hatutumii chumvi kabisa. Ni unyama sana, anza kutumia na Basil na pilipili manga
I thought nilisema napenda nyama choma iwe ya kienyeji, less spices… Nyama choma kama ya wa wamasai.. plain plain !

Asante tho.
 
I thought nilisema napenda nyama choma iwe ya kienyeji, less spices… Nyama choma kama ya wa wamasai.. plain plain !

Asante tho.
We ndo kama Mimi sipendi nyama choma yenye viungo vingi.Limao,pilipili chumvi basi.Zile zinazochomwa kwenye bar za kienyeji.
 
We ndo kama Mimi sipendi nyama choma yenye viungo vingi.Limao,pilipili chumvi basi.Zile zinazochomwa kwenye bar za kienyeji.
Sasa je! If you know you know! 😅

Unless mtu uende steak house kama “Moyo” ndio unapata nyama nzuri wana michanganyiko ya viungo vyao nyama inakuwa na viungo ila nzuri, huku mtaani hiyo michanganyiko ya ingredients kuna muda mtu huelewi unakula nyama choma au unakula pilau! 😂
 
Back
Top Bottom