Tusaidianeni kwa hili

mimi nipo single kwa sababu ww hautaki kujibu text zangu PM
 
Shida mabinti wengi wamegeuza mahusiano kuwa sehemu ya kujipatia kipato ,sasa kabla hawaja toboa mfuko nikuchapa na "kurara mbere"
" kuchapa na kurara mbere"

 
Mm sijakutana na waoaji bado[emoji28]
 
Mi niumbo namba SITA na Sina degree yanini mwanamke ,mi Rangi ya chocolate halafu sijajikoboa Niko gado ila Kwa Sasa Sina huo muda humu nahao masingle baba's .

Ila zamani nilitaka mtu asiye na mtoto , tajiri anaphd na bado hajaoa hata mara Moja .


Basiii na awe kajenga Jenga sio ndani ya nchi tu njee sipendi aliyenakitambi naipenda six pax ila Sasa Wala siitaki nipo single sienjoy ila kiasi Fulani naenjoy
 
JF Kila mwanamke taken Kila mwanaume yupo single isipokuwa DeepPond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta Mtu mzima age Kuanzia 50+ ndo utafanikiwa kirahisi
 
Nachukia mtu mwenye mtoto mwanaume akishaazaa na mtu kero tu
Hii inatokea pale mama wa huyo mtoto akiwa anasumbua, wivu ndo unapoanzia. Ila wengine mbona wako poa tu. Cha muhimu ni kuwa wakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…