Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

Binafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.

2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.

3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.

Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
Hongera ila jenga basi kwasababu hela ipo unasubiria nini kwani samia alisema atakupa kiwanja bure maana kuna vile vya serikali watu hupimiwa na kupewa kwa bei rahisi
 
Wanawake wamezembea hadi wamefika idadi ya 1.6M ya ziada 😂😂😂 sasa watulie tena waone 2032 hali itavyokuwa mbaya.

Ulipaswa uwaambie waje pm kujieleza shida zao za kimahusiano ili tuwasapoti.
Ila kwa kuzembea Yes wengi wezembea wapendanao halafu sasa maisha ndio haya wanashangaa
 
Wee s ulisema kuwa Kuna jamaaa alikuloga alikusababishia mshono shaaaa ,mshono wa tumbo shaaaa sas bado unatak kuolewa [emoji4]
 
Wee s ulisema kuwa Kuna jamaaa alikuloga alikusababishia mshono shaaaa ,mshono wa tumbo shaaaa sas bado unatak kuolewa [emoji4]
Eh kwani mtu akipata c section haliwi tena sianaliwa na anapata mtoto mwingine basi ujue kwamba humu hakuna wangu maana nimekuja kugundua hakuna mwenye sifa nitakazo
 
Shida mabinti wengi wamegeuza mahusiano kuwa sehemu ya kujipatia kipato ,sasa kabla hawaja toboa mfuko nikuchapa na "kurara mbere"
 
Tuoe na hizi pisi Kali tumuachie nani? Ni mwendo wa kuonja na kufuata nyingine. Ukifika age ya 45 ndo unatafuta binti wa 20-23 yrs unaoa ili unuonee wivu ufe mapema kabla kisukari hakijakupofusha
 
TATIZO wanawake WA SIKU hizi ASILIMIA 90 WANAPENDA ela na sio mtu kama alivyo ni wachache sana wasiopenda penda kuombaomba ela so sometimes ata mtu akiwa na ela zake anatafakari ili apate mtu sahihi wakumkubali yeye kama yeye .....hapo shida ndio inapoaanzia sasa
 
Dada zetu saivi namba tu akikupa mizinga mnapenda pesa sana ndomana mwanaume akikupata anakuacha
 
Binafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.

2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.

3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.

Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
Well said nimependa sana hiyo ya 2 na 3
 
Hongera ila jenga basi kwasababu hela ipo unasubiria nini kwani samia alisema atakupa kiwanja bure maana kuna vile vya serikali watu hupimiwa na kupewa kwa bei rahisi
Nitajenga tu, mambo ni mdogo mdogo.

Unatafuta hela ya tofali mbili, then unatafuta na hela ya bia mbili.. hivo hivo mdogo mdogo.

Swala la kuowa lisinifanye nishindwe hata kula bata.
 
mnaharibu uume kwa nyeto
Wengine tumeshaoa mkuu, na nyeto hata nyinyi mnapiga na kwa mujibu wa takwimu za sensa kuna gap la wanawake si chini ya 1,629,325 ambao wapo tu wanaelea elea hawana wenza wa kuwagonga, sasa hawa wote unafikiri wanafanya nini km sio kupiga nyeto?

Na naona katika hao sijui km au nachelea kuamini km wewe hukosi maana umeleta habari za form za laki 7 mara 1M umenikata pumzi mkuu una degree ya hii kitu?,
 
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?

Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Ndoa ni maono. Shida kumpata anayefit kwenye maono yako ya maisha. Isitoshe vijana wengi siku hizi hawaandaliwi kuwa wake au waume za watu. Majanga matupu!.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?

Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Mimi mtawa.Sitakiwi kuoa.
 
Mimi sijipigii debe humu hakuna wangu sifa nitakazo hawana so siwezi kuforce life mimi .

Wangu najua atakuwepo ila sio hapa
Najua hujipigii promo unique, japo upendo wangu kwako uko pale pale...
 
Kwanini umemfungia mwanaume rijali pm yako ??
Eti ??🤣🤣🤣 Na hii post inakuhusu wewe na wadada wengi ambao hamtaki kufungua pm
Wadada wengi wanachagua sana kuliko sisi wanaume, unakuta mdada anataka mkaka tall, dark, handsome & well off, wakati chances za kukutana na mwanaume wa hivo ni 2% Unique Flower
 
Back
Top Bottom