Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #61
Mimi sijipigii debe humu hakuna wangu sifa nitakazo hawana so siwezi kuforce life mimi .Wanaume masingo watakuwa wamekuelewa!
Wangu najua atakuwepo ila sio hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijipigii debe humu hakuna wangu sifa nitakazo hawana so siwezi kuforce life mimi .Wanaume masingo watakuwa wamekuelewa!
Hongera ila jenga basi kwasababu hela ipo unasubiria nini kwani samia alisema atakupa kiwanja bure maana kuna vile vya serikali watu hupimiwa na kupewa kwa bei rahisiBinafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.
2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.
3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.
Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
Mie humu sijaona bado mwenye sifa nitakazo lazima sasa niwe kweli ndio maana nimeamua nifungukeKhe mbona umeuliza ghafla sana unatamani ndoa eeh??
Ila kwa kuzembea Yes wengi wezembea wapendanao halafu sasa maisha ndio haya wanashangaaWanawake wamezembea hadi wamefika idadi ya 1.6M ya ziada 😂😂😂 sasa watulie tena waone 2032 hali itavyokuwa mbaya.
Ulipaswa uwaambie waje pm kujieleza shida zao za kimahusiano ili tuwasapoti.
Ua langu la kipekee njoo PM pls sweetheart..Mie wakike sasa nitaoaje
Eh kwani mtu akipata c section haliwi tena sianaliwa na anapata mtoto mwingine basi ujue kwamba humu hakuna wangu maana nimekuja kugundua hakuna mwenye sifa nitakazoWee s ulisema kuwa Kuna jamaaa alikuloga alikusababishia mshono shaaaa ,mshono wa tumbo shaaaa sas bado unatak kuolewa [emoji4]
Wacha sifa utakuwa nazo nitakazo mimi??Ua langu la kipekee njoo PM pls sweetheart..
🤣🤣🤣🤣Umejua kunichekesha loohWee s ulisema kuwa Kuna jamaaa alikuloga alikusababishia mshono shaaaa ,mshono wa tumbo shaaaa sas bado unatak kuolewa [emoji4]
Well said nimependa sana hiyo ya 2 na 3Binafsi, Sababu zilizopelekea kuwa single ni..
1. Muda bado tu wa kukutana na mke wangu ila najua yupo na ipo siku nitakutana nae.
2. Pesa. Sina mtonyo wa kusema niwaze kufunga ndoa kwa sasa. unaishi nyumba ya kupanga alafu unataka ufunge harusi na huna hata kiwanja huo ni ufala.
3. Wanawake wenye sifa ninazo zitaka ni wachache sana, hata siwaoni huku nilipo.
Kikubwa kiu ikizid naruka na Yeyote. fullstop
Nitajenga tu, mambo ni mdogo mdogo.Hongera ila jenga basi kwasababu hela ipo unasubiria nini kwani samia alisema atakupa kiwanja bure maana kuna vile vya serikali watu hupimiwa na kupewa kwa bei rahisi
Wengine tumeshaoa mkuu, na nyeto hata nyinyi mnapiga na kwa mujibu wa takwimu za sensa kuna gap la wanawake si chini ya 1,629,325 ambao wapo tu wanaelea elea hawana wenza wa kuwagonga, sasa hawa wote unafikiri wanafanya nini km sio kupiga nyeto?mnaharibu uume kwa nyeto
Ndoa ni maono. Shida kumpata anayefit kwenye maono yako ya maisha. Isitoshe vijana wengi siku hizi hawaandaliwi kuwa wake au waume za watu. Majanga matupu!.Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?
Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Mimi mtawa.Sitakiwi kuoa.Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?
Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Najua hujipigii promo unique, japo upendo wangu kwako uko pale pale...Mimi sijipigii debe humu hakuna wangu sifa nitakazo hawana so siwezi kuforce life mimi .
Wangu najua atakuwepo ila sio hapa
Wadada wengi wanachagua sana kuliko sisi wanaume, unakuta mdada anataka mkaka tall, dark, handsome & well off, wakati chances za kukutana na mwanaume wa hivo ni 2% Unique FlowerKwanini umemfungia mwanaume rijali pm yako ??
Eti ??🤣🤣🤣 Na hii post inakuhusu wewe na wadada wengi ambao hamtaki kufungua pm