Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

Swala la kuoa ni utayari, halihusiani na mali wala umri wa mtu.

Pia vijana wengi hawaoi kwa sababu wanayaona kwa macho mawili yanayoendelea kwa waliotangulia kuoa.
 
Wadada wengi wanachagua sana kuliko sisi wanaume, unakuta mdada anataka mkaka tall, dark, handsome & well off, wakati chances za kukutana na mwanaume wa hivo ni 2% Unique Flower
Mimi napenda wakaka shombi shombi wasafi na mtonyo uwepo unadhani akizaliwa binti classic atakula nini akaa,
baba ni anatoa mimacho kama mjusi aliyekabwa na mlango
 
Swala la kuoa ni utayari, halihusiani na mali wala umri wa mtu.

Pia vijana wengi hawaoi kwa sababu wanayaona kwa macho mawili yanayoendelea kwa waliotangulia kuoa.
Kariri maisha utakufa maskini
 
Shida mabinti wengi wamegeuza mahusiano kuwa sehemu ya kujipatia kipato ,sasa kabla hawaja toboa mfuko nikuchapa na "kurara mbere"
Ukiona mtu anadai pesa pesa huyo hana matunzo ni fucking dudu😛🤣🤣🤣
 
Swala la kuoa ni utayari, halihusiani na mali wala umri wa mtu.

Pia vijana wengi hawaoi kwa sababu wanayaona kwa macho mawili yanayoendelea kwa waliotangulia kuoa.
Umri unaenda acha kujishongondoa
 
Umri hauoi mtu, uwezo wa kumudu mke Au mume na Utayari ndo kilakitu.

Nyie mnaoa olewa au kuoa kwa umri ndo mnatusumbua huku mitaani na migogoro isiyo na kichwa wala miguu
Mie mkubwa napenda kula , kunywa na kucheza je wewe kutafutia sasa hapo sijui
 
Mkuu,
Upendo haujalishi lakini.
Uzee unakunyemelea nafuu kuna mmoja kajitambua ushimen yeye tu siku hizi kazi yake ni kula matunda nakufanya mazoezi mengine hakunaga ila equation x bado hajielewi kabisa anang'ang'ana
 
Haijalishi mkuu,
Wengine ujana wetu ulichelewa kuanza so hata uzee wetu utachelewa kuanza!! Halafu siku hizi ni pesa tu, tunaitafuta pesa ili tusizeeke.
 
Sasa pesa na upendo wapi na wapi
 
Haijalishi mkuu,
Wengine ujana wetu ulichelewa kuanza so hata uzee wetu utachelewa kuanza!! Halafu siku hizi ni pesa tu, tunaitafuta pesa ili tusizeeke.
Unataka kumuhonga unique fulawa
 
Eeeh, ukitaka kuhongwa utahongwa tu!! Ukitaka kuonyeshwa upendo utaonyeshwa..ni wewe tu unique!
Walisema wengi hapa ukiwa serious wanaomba elfu 30 waanzee urafiki rasmi
 
Back
Top Bottom