Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kudadadeki ๐ ๐ ๐ ๐ ๐MAJI SHIDA... KWENU YANATOKA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadadeki ๐ ๐ ๐ ๐ ๐MAJI SHIDA... KWENU YANATOKA?
Mie nahitaji upendo na furaha mtu akupende kiukweli kama rafiki wakweli sio rafiki wa uongo unajua ukishazoeana ndio mtu anaona unique anafaa kusaidiwa nini na kama unique anashida basi unamsaidia ila kweli urafiki ni mzuri sana ule wimbo wa furaha kulewa na marafiki furaha kucheza na marafiki30k kwa ajili ya kuanza urafiki? Na wewe ili uanze urafiki unahitaji ngapi unique?
Achante besti mzima lakiniIt's alright with me. Enjoy the fab then
Tatizo unawaza ukioa bata zote na wana zinakufa kifo cha mende.Vijana wa JF wao wanahitaji Mwanamke mwenye sifa hizi
Umbo namba nane
Degree au masters
Uwe stable financially
Uwe mcha Mungu
Usiwe single mother
Uwe Mweupe bila mkorogo
Ukiona una sifa hizo Bado Ngoma ngumu fahamu umerogwa
Na siku hizi vijana wanazidi kutoboa ndo wanawakimbia wanawake
Marrige is scam
Endelea kujidanganyaukiona mtu anatafta mpenzi mtandaoni bas ni kumalizana nyege huwez pata mtu unaemtaka.
wakaza mafuvilu lazima watanioinga ila kupata mwenza ni process ambayo inahitaji mungu na umakini
Niko pouwa na hii week end, hofu kwa upande wako rafiki. Kama nakuona unavyojitanua hapo maeneo ya kujidai jioni hii hahaAchante besti mzima lakini
Eh tunakula Bata maeneo Fulani karibuniNiko pouwa na hii week end, hofu kwa upande wako rafiki. Kama nakuona unavyojitanua hapo maeneo ya kujidai jioni hii haha
Kwa una afutatu hapo.. [emoji23]Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?
Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Anzisha uzi wako.Tuliooa na tuna Michepuko tunacomment wapi[emoji4]
Ninasinia la pilau tu hapa karibu
Jamani wewe ๐Anzisha uzi wako.
Na unavyopendwa na mleta uzi sasa๐
Mwaka umeisha naomba picha Yako Sasa nijue ndio wewe bestTuliooa na tuna Michepuko tunacomment wapi[emoji4]
Na hii ndo shida yenyewe.Mimi napenda wakaka shombi shombi wasafi na mtonyo uwepo unadhani akizaliwa binti classic atakula nini akaa,
baba ni anatoa mimacho kama mjusi aliyekabwa na mlango
Sijaelewa shida Iko wapi Sasa hela au??Na hii ndo shida yenyewe.
Hivyo vigezo vyenu, unakuta unamsubiria wa hivyo halafu hatokei, badala yake mtu anaanza kujipeleka ili apendwe na mwisho wa siku analizwa.Sijaelewa shida Iko wapi Sasa hela au??
Okay hivi wajua nilikuwa na mtu sura haifai ila bado alikuwa ananiumiza kichwaHivyo vigezo vyenu, unakuta unamsubiria wa hivyo halafu hatokei, badala yake mtu anaanza kujipeleka ili apendwe na mwisho wa siku analizwa.
Kwetu kuna combination ya maji na umeme, vp kwenu huko!MAJI SHIDA... KWENU YANATOKA?